Vengu anaumwa nini?

Mla Mbivu

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
224
48
naona kila wiki kwenye origino komedi masanja lazima amalize kwa kusema jamaa anaumwa.
 

Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,519
6,084
anaumwa ugonjwa wa mrema..upupu wa milele yaani kujikuna mwanzo mwisho
 

shosti

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
4,914
1,497
watanzania tuna roho mbaya ile mbaya....unafanyaje maskhara na maradh ya mwenzio,hujui anataabika jamani!
 

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,177
3,326
Hata mimi nilikuwa najiuliza anaumwa nini, lakini kwa jinsi watu walivyojibu sijapata jibu la maana mpaka sasa.
 

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,806
15,332
Hata mimi nilikuwa najiuliza anaumwa nini, lakini kwa jinsi watu walivyojibu sijapata jibu la maana mpaka sasa.

hata mie naona watu wanaleta masihara tu hapa.................. Mwenye taarifa za ugonjwa wa kijana mwenzetu atujuze ili tumuweke kwenye maombi na duaaa........apone.................
 

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,177
3,326
hata mie naona watu wanaleta masihara tu hapa.................. Mwenye taarifa za ugonjwa wa kijana mwenzetu atujuze ili tumuweke kwenye maombi na duaaa........apone.................
Naona mpaka mtu afe ndiyo waanze kusikitika, jamaa alikuwa nyingi........!
 

sweetlady

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
16,956
8,354
anaumwa ugonjwa wa mrema..upupu wa milele yaani kujikuna mwanzo mwisho
Wakati mwingine tujifunze kuweka utani pembeni kwenye mambo ambayo yako serious. Vengu anaumwa kweli, tena sana, anakaribia kumaliza mwezi yupo kitandani wala hajitambui, wiki iliyopita madaktari muhimbili walimuhamishia ICU baada ya hali yake kuzidi kuwa mbaya..anahitaji maombi yetu kwakweli, acha utani ndugu yangu, mwombee mwenzio sababu hajapenda kulala kitandani, nna hakika hakuna anayejiombea ugonjwa, kila mtu angependa kuwa na afya njema siku zote.. Ila kumbuka pia kuna mipango ya Mungu!
 

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,805
626
Kweli jamaa anaumwa sana, sidhani kama ni ajali. Tulisikia kuwa anasumbuliwa na kisukari. Hakujua historia ya ugonjwa inavyosemekana mpaka hali ikafikia ilipo. Mungu atampa nguvu na atarejea katika maisha yake ya kawaida.
 

sweetlady

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
16,956
8,354
Kweli jamaa anaumwa sana, sidhani kama ni ajali. Tulisikia kuwa anasumbuliwa na kisukari. Hakujua historia ya ugonjwa inavyosemekana mpaka hali ikafikia ilipo. Mungu atampa nguvu na atarejea katika maisha yake ya kawaida.
Ni kweli sio ajali...alizima ghafla wakafikiri ni malaria, akatibiwa hakupata nafuu kabisa baada ya hapo akafanyiwa vipimo zaidi, nafikiri ndipo sukari ilipogundulika...tunamwombea kwa mungu apone upesi..
 

mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
16,132
26,332
[h=2]Pole sana Vengu! Tunakuombea Upone haraka na tunamuombea na mrema naye apone![/h]Tujifunze kuwa na huruma na maumivi ya wengine pia kutokana na hili!!!
Kweli jamaa anaumwa sana, sidhani kama ni ajali. Tulisikia kuwa anasumbuliwa na kisukari. Hakujua historia ya ugonjwa inavyosemekana mpaka hali ikafikia ilipo. Mungu atampa nguvu na atarejea katika maisha yake ya kawaidaquote_icon.png
By Chezo
anaumwa ugonjwa wa mrema..upupu wa milele yaani kujikuna mwanzo mwishoWakati mwingine tujifunze kuweka utani pembeni kwenye mambo ambayo yako serious. Vengu anaumwa kweli, tena sana, anakaribia kumaliza mwezi yupo kitandani wala hajitambui, wiki iliyopita madaktari muhimbili walimuhamishia ICU baada ya hali yake kuzidi kuwa mbaya..anahitaji maombi yetu kwakweli, acha utani ndugu yangu, mwombee mwenzio sababu hajapenda kulala kitandani, nna hakika hakuna anayejiombea ugonjwa, kila mtu angependa kuwa na afya njema siku zote.. Ila kumbuka pia kuna mipango ya Mungu!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom