Vengu anaumwa nini?

Pole sana kaka Vengu. nilimsikia masanja akisema unaumwa lakini hakusema unaumwa nini na uko hospital gani. Ningejua uliko ningekuja kukuona. Yesu alisema "nilikuwa hospital humkuja kuniona ondokeni siwajui.'' Kama mfuasi wa mafundisho ya Yesu ningejua ulipo Bro ningekuja kukuona. Mungu akujalie Afya tena urudi chuoni na kwenye Original Komed. Tunakumiss sana.
Yupo muhimbili hospital.. Ukifika hapo utajua yupo ward gani!..
 
Kwa tusiomjua,tuwekeeni walau picha yake basi na wasifu wake kidogo.
Upone haraka bro
 
get-well-soon- my dear.gif

Get well soon my dear son, i love u.
 
mungu ampe nguvu,,,,tumemmic sana jamaa....get wel soon bro!!!!
Kweli jamaa anaumwa sana, sidhani kama ni ajali. Tulisikia kuwa anasumbuliwa na kisukari. Hakujua historia ya ugonjwa inavyosemekana mpaka hali ikafikia ilipo. Mungu atampa nguvu na atarejea katika maisha yake ya kawaida.
 
Back
Top Bottom