Vengu alejea kimya kimya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vengu alejea kimya kimya

Discussion in 'Celebrities Forum' started by ERIC JOSEPH, Jun 21, 2012.

 1. ERIC JOSEPH

  ERIC JOSEPH JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kuna tarifa ya kwamba yule gwiji wa kundi la original comedy ambaye alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kushambuliwa kwa kichwa amelejea kimya kimya nchini kwa talifa ambazo nimezipata katika gazeti la amani.jaman vp afya yake mwenye kujua zaid atujuze hali ya Vengu.sorce gazeti la amani
   
 2. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Sasa wewe taarifa zaidi umeshindwa nini kusoma kwenye hilo gazeti la amani?
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Walitaka Vengu arud kwa vigeregere????kwani aliondoka kwa mbwembwe?????
   
 4. ERIC JOSEPH

  ERIC JOSEPH JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  -ndugu yangu huku nilipo nipo kijijini hakuna cha magazeti redio lenyewe mpaka majila ya usiku so mi huku nautegemea mtandao huu kwa hbr za kina
   

  Attached Files:

  • Aman.jpg
   Aman.jpg
   File size:
   46.8 KB
   Views:
   100
 5. g

  gati Member

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ulitaka arudi na matarumbeta na buruji la jeshi, au?!, wewe mbona ulienda huko uliko kimyakimya bila kuagwa na kwaya ya kijiji ama kupokelewa na kwaya ya kijiji cha mtakuja?!, karagabaho we!.
   
 6. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Haya ndugu yangu.....subiri wenye kujua waje wakujuze.
   
 7. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahahahaha we gati mbona una hasira hivyo?....lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Andika vizuri.
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  Asante kwa kunisaidia kuuliza hili swali.....


   
 10. R

  Rubesha Kipesha Member

  #10
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mada imekaa kiudaku udaku lol! Ulitarajia mapokezi ya kishindo ili iweje.
   
Loading...