Venezuela yashambuliwa na Marekani

Mm kukamatika n suala la muda tuu, siku mbili tatu msiponiona humu ujue Ndo kwa heri, mana mm sio maarufu hvy hamtoniona mitandaoni nikitangazwa nimetekwa 😂
Ila TISS na Jakaya watakwenda motonii.

Hivi unafahamu alikuwa karani shilika la reli pale Tabora watu wamajiweka sana.
Hili kaburi ulilofukua ni zito sana, anaweza kutokea chawa likamuuma, kisha akajipa jukumu la kukutoa uhai,

Siku hizi kumwua mtoa maoni tofauti na watawala imekuwa rahisi na jambo la kawaida sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…