teh teh ,,,,,Hii ngoma inasound jamaica kama ile ya tiwa savage BAD
Too much uamerica.....
vanessa hana management makini ndio maana anashindwa kwenda mbele!!!
mziki wake sio tatizo sana
Utizame Mkuu........nyie mashabiki wa Diamond hampendi maendeleo ya msanii mwingine yoyote zaidi ya Diamond tu.
mashabiki wake tunapenda kazi yake,Uyu izo nyimbo zake kwa hii nchi atateseka sana
Utizame Mkuu........
We nae umekariri kila kitu ni kiba na diamond akili yako imestucknyie mashabiki wa Diamond hampendi maendeleo ya msanii mwingine yoyote zaidi ya Diamond tu.
Huoni kama ni Beyonce mtupu humo ndani??nimeshatizama
chaanyie mashabiki wa Diamond hampendi maendeleo ya msanii mwingine yoyote zaidi ya Diamond tu.
Huoni kama ni Beyonce mtupu humo ndani??
me sijapenda vyote ngoja tena kesho niusikilizevideo nzuri wimbo mbaya
Tutazoea tuToo much uamerica.....