Vanessa Mdee aachia nyimbo mpya - Cash Madame

ngoma nzuri imekaa kimbele mbele sana sio kibongo bongo wakina mwajuma ndala ndefu hawatoielewa,apunguze ubeyonce kidogo,hizi za vannesa sio level za kina shishi trump wala jay dee wala snura teh teh teh komaa mdada ila verse ya kwanza ina sound km ngoma ya AY zigo....

hongera sana mama jux.
Hats aimbe kama Madonna, jide no jide hakuna wa kumfananisha huyo anaiga, jide hamuigi mtu she is herself
 
Yani tangu amepiga hizi nyimbo sijaona Kali zaidi ya hizi.

1. Hawajui
2. Siri ft barnaba
Ajipange tena zaidi. Hii cash Madame hakuna wa kusikiliza (sisi wa uswahilini)
Nyie wa uswahilini mshawahi japo kwend kwenye show zake au hata kununua cd za Albamu zake?

Hizi nyimbo ajawalenga nyie...nyie size yenu Manfongo na Msaga Sumu.
 
Mmmmh ngoma nzuri ila umbele mbele mwingi!
Ningekuwa najua kuimba ningehakikisha nateka kwanza soko la ndani baaada ya hapo naelekea nje kama alivyofanya plutnumz!!

Kinyumbani nyumbani sidhani kama itateka nyoyo za watu labda huko ughaibuni

Kinyumbani wapo snura, shilole, mwasiti, isha mashauzi , linah , n.k

Mbona hamuwapi support? Mmejaa unafki tu..Vanessa kakulia nje ya nchi msimlazimishe awe kimanzese...

Lazima tofauti iwepo ukitaka asili wakina banana , mpoto , best naso , mataluma wapo , sie tunaopenda swaga mtuachie kina Vanessa , Navy kenzo na Shaa
 
Nyie wa uswahilini mshawahi japo kwend kwenye show zake au hata kununua cd za Albamu zake?

Hizi nyimbo ajawalenga nyie...nyie size yenu Manfongo na Msaga Sumu.
Show zake huwa anafanyia wapi? maana ktk wasanii wenye mkosi wa kutopata show na huyu mdada yupo anapigwa bao mpk na shishi trump.....tatizo sijui nini au uzungu?
 
Show zake huwa anafanyia wapi? maana ktk wasanii wenye mkosi wa kutopata show na huyu mdada yupo anapigwa bao mpk na shishi trump.....tatizo sijui nini au uzungu?
Shishi ameshawahi kwenda MTV au project Coca cola!!!????
 
Kinyumbani wapo snura, shilole, mwasiti, isha mashauzi , linah , n.k

Mbona hamuwapi support? Mmejaa unafki tu..Vanessa kakulia nje ya nchi msimlazimishe awe kimanzese...

Lazima tofauti iwepo ukitaka asili wakina banana , mpoto , best naso , mataluma wapo , sie tunaopenda swaga mtuachie kina Vanessa , Navy kenzo na Shaa
Wewe ndio mnafiki unayeshindwa kumwambia ukweli! Kuishi nje hakufanyi mtu ashindwe kuzungumza kiswahili au completely na swaga za mbele

Ungenia amezaliwa huko na amekulia huko labda ungeeleweka kidogo

Anyway tuache hizo za kukulia nje!
Show ngapi anazofanya huko nje? We huoni diamond hata akichanganya kimbele mbele hakiwi too much, mfano Diamond ;make me sing,marry you,kidogo ,marsh up ya coke studio na Casper nyovest e.t.c ughaibuni zinapendwa na nyumbani vile vile
Sasa we mdanganye wakati show nyingi anategemea za ndani na hili ndio linaenda kuwakuta navykenzo angalia kamatia chini ilivyobamba halafu linganisha na hii waliyotoa sasa hivi!
Namkubali sana vanessa ila kwa hii sidhani kama itafikia level za Niroge

Mifano mingi angalia AY ngoma aliyoitoa hivi karibuni linganisha na level za Zigo remix
 
Show zake huwa anafanyia wapi? maana ktk wasanii wenye mkosi wa kutopata show na huyu mdada yupo anapigwa bao mpk na shishi trump.....tatizo sijui nini au uzungu?
Hizo show za Shishi za Fiesta na Maisha Club?!

Huyu akienda zake Coke studio na show zake za Nigeria na south Africa anavuta mpunga mrefu kuliko show zote za Shishi baby kwenye Fiesta.
 
Nashangaa sana wasanii wanaojitoa fahamu kutoa wimbo mwezi huu wakati darasa hashikiki jamani si ndo mwanzo wa wimbo kutokusikika sasa kama Vanesa Mdee ana expect nini in darasa voice kutoa kawimbo kake? while kuna burning song mtaani?
 
Kinyumbani wapo snura, shilole, mwasiti, isha mashauzi , linah , n.k

Mbona hamuwapi support? Mmejaa unafki tu..Vanessa kakulia nje ya nchi msimlazimishe awe kimanzese...

Lazima tofauti iwepo ukitaka asili wakina banana , mpoto , best naso , mataluma wapo , sie tunaopenda swaga mtuachie kina Vanessa , Navy kenzo na Shaa
yan hii nyimbo ni next level
 
Vipi msanii wabongo anayejiweka kwa muonekano wa Chris Brown tena unakuta kavaa meno kama Birdman?
Sijawahi kumuona msanii aliyejiweka kama Chris Brown,na kuvaa meno kwenye video zake .............. Lakini kama unamjua nijulishe,mi simjui.
 
Back
Top Bottom