faiza foxy Bi mkubwa umenifanya nini sasa ...nimekaaaa na zawadi zangu mpaka nimechokaa ... ama kwelii wazee hawajuii kula na vijana ..ASHANTE BIBI FAIZA
Nakuja bby hata my wifi CUTE amenialika kule pm. Nitawafata ucjali. Ngoja tumalizane na shemejio tutapanga jinsi ya kuwadikia. Btw mnaweza msitake usumbufu kwa leo