Asante rais wangu jpm kwa kutuletea bombadier,kupinga madawa ya kulevya,kutetea maskini,kubana matumizi,kurejesha heshima nchini n.k napenda kukutakia happy valentine day...
kama unataka kumwish happy valentine kiongozi yoyote unaruhusiwa,hii ni special kwa viongozi wetu...