Tusherehekee Valentino huku tukijihadhari na virus vya UKIMWI.Hii siku kuna baadhi ya watu wanaigeuza kuwa siku ya kugusanisha "positive and negative" charges Sorry to say this
As busy as we get, we need to be reminded that we are still sweethearts. Valentine’s Day is a good day for me to stop and realize how wonderful you make me feel. Happy Valentine’s Day Clkey
Happy valentine rubii. Mwenyezi Mungu akulinde na kukutunza. Zawadi yangu kwako ni kukuombea ili ufanikiwe katika kila utendalo,uwe na amani furaha maishani mwako.
Tusherehekee Valentino huku tukijihadhari na virus vya UKIMWI.Hii siku kuna baadhi ya watu wanaigeuza kuwa siku ya kugusanisha "positive and negative" charges Sorry to say this
nitachelewa bibi naomba wew wahi mim napatia supermakert kuangalia zawadi ikufaayo ....Maana leo najitolea kukupaa upendo kuliko watu wote JF ...usiniangushe bi mkubwa .
ukipata bimkubwa kama huyu akulee raha sana ....nahisi naikaribia bahati yangu .