Wasukuma bwana, badala ya kurudi na msosi anarudi na mauwa
Ushaitwan tumeupenda sisi.... Tatizo liko wap= Valentine's
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Upuuzi mtupu, mnasherehekea ushaitwan.
Ukiingia tema mate tu usikojoe.....maana ukikojoa asubuhi utapiga pasi godoro[emoji4]Ukiona choo ndoton jua mtego huo usingiee...
AhahahaUkiona choo ndoton jua mtego huo usingiee...
Ukiona choo ndoton jua mtego huo usingiee...
IshaAllahI love you my wii, yours will not be as simple as this, I will come personally with a lot of gifts to cherish your day.
Kisses mama to yuuuuu mkataba wa siku moja ya leo tu si unakubaliwa?Kiss kiss [emoji9][emoji9][emoji9] Bonny
Leo ni mwendo wa maloveee tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] achana namiiiKisses mama to yuuuuu mkataba wa siku moja ya leo tu si unakubaliwa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] achana namiii
umesema mwenyewe kosa langu liko wapi?Fursa hiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani anaetaka kuwa nami leo[emoji7][emoji7][emoji7]View attachment 470331
Anatafutwa wa kuchunwa hapo,ukijiingiza tu utasikia,baby nitumie basi elfu 50 niende salon.
leo ntakua nimejifichaLeo wapi?