AL SADY OLPLANER
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 294
- 219
BI MKUBWA faiza foxy nakukaribisha valentine's leo tukapate upepo hata kwa masaa mawili tukabalizi. ....please please..= Valentine's
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Upuuzi mtu, mnasherehekea ushaitwan.
Leo wapi?Thank u best, the same to you....
BI MKUBWA faiza foxy nakukaribisha valentine's leo tukapate upepo hata kwa masaa mawili tukabalizi. ....please please..
Mimi kwa dhati ya moyo wangu nakupa limau* VALENTINE IS COMING SOON.. 14/02/2017..... *,Naomba uninunulie tunda moja kati ya haya la Zawadi Ya Siku Hiyo:-
1. Nanasi- aliye bora zaidi.
2. Ndizi- mahusiano ya dhati.
3. Embe- mahaba ya kudumu.
4. Chungwa- mimi na wewe milele.
5. Apple- mapenzi ya moyoni
6. Limao- usaliti.
7. Pera- uaminifu wa kweli.
8. Parachichi- mapenzi ya muda.
9. Pasheni- urafiki wa kawaida.
10. Papai- asiye wa muhimu sana..
Mwenzio Nasubiria tunda utakalo nipa.
nine tuma kwako kwamaan we ndo kipenz cha moyo wangu. By ur ........................... Hiyo meseji kanitumia wife, ukiipenda ikopi
nitachelewa bibi naomba wew wahi mim napatia supermakert kuangalia zawadi ikufaayo ....Maana leo najitolea kukupaa upendo kuliko watu wote JF ...usiniangushe bi mkubwa .= tukabarizi
Sawa, njoo pale swimming pool pub ya Kilimanjaro, agiza vinywaji unisubiri.
[emoji13] [emoji13] Faiza kwenye ubora wako= tukabarizi
Sawa, njoo pale swimming pool pub ya Kilimanjaro, agiza vinywaji unisubiri.
Huo ushaitwan ni upi?= Valentine's
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Upuuzi mtu, mnasherehekea ushaitwan.
Ubavu wake mzee wa Mashushuooo Stunter ama? Haya na wewe Daby Leo umejipangaje kumtoa Lazizi out?[emoji23][emoji23]..
Afadhali unautendea haki ubavu wako...wengine siujui wanafikiri tuliwazawadia tuuu
angalia usizibe shimo la Panya kwa mkate lakiniNko hapa dunian jst kwa ajili ya kuziba ila mbavu alotoa
Jogoo hawiki tumchinje tu tujue moja [emoji23] [emoji23]Haya mi nipo zangu uzi wa masingles huku mnaniumiza roho.....
I just Love this Dear [emoji122] [emoji122]Nko kwa ajili yake my shem na analitambua hilo. Uzr sijawah ona mwenye mapenz ya namna yake[emoji85]
Acha uchochezi wa ligi zisizokua na umuhimu broHuo ushaitwan ni upi?
Unaweza kuuelezea hapa?
Mtu [emoji117] Mtupu= Valentine's
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Upuuzi mtu, mnasherehekea ushaitwan.
Ni suprise baby....get prepared kwanza. ....Ubavu wake mzee wa Mashushuooo Stunter ama? Haya na wewe Daby Leo umejipangaje kumtoa Lazizi out?