Valentines Special Thread 2017

Sasa joanah anatakiwa aseme ni yupi sababu hata mimi.....namtakia heri ya siku ya wapendanao.....
 
(p.baby) nakupenda sana haijarishi ni umbali gani uliopo kati yetu,
sijaona mwanaume kama wewe.
Nimekuweka sehemu nyeti moyoni mwangu.

Nakupenda
nakujari
nakuheshimu
nakuthamini.

"no one like "

HAPPY VALENTINE MY LOVE:
Nimeyapenda maneno yako kwa mpenz wako.
 
Dah... Siku hii huwa ngumu sana kwangu.....ndiyo maana huwa naamua nikae job tu hadi saa 8 Usiku niepushe Shari
 
Wana jamvi naombeni ujumbe mzuri wa kiswahili wa valentine nimtumie kipenzi changu ambaye yupo mbali na mimi

Uwe mzuri sana mpaka apagawe kabisa na mimi mtoto wa kimakonde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…