Valentines Special Thread 2017

Valentines Special Thread 2017

Ngoja mie nikae pembeni, jana tu nimeumizwa moyo wangu, wala sina muda kabisa, bora nichape kazi kwa kwenda mbele.
 
Ngoja mie nikae pembeni, jana tu nimeumizwa moyo wangu, wala sina muda kabisa, bora nichape kazi kwa kwenda mbele.
Dooh,Moyo husukuma damu tu.Anyways,kama bado unauma meza panadol.Maumivu yakizidi muone daktari.Natania tu!.That z love bruh!.broken bt we still have to,hatuna namna.
 
Happy Valentines Day to all Jf Members kwa ujumla wake bila ya kuwasahau
*jje's
*Toto Tundu Stunter
*Faiza fox (hasimu wa wengi a.k.a mama wa ujinga)
*Miss chagga (huyu kasema atawachuna wanaume mpaka mbaki mifupa kisa ile ada ya ex Bf wake)
*Asprin
*Mshana (nakuja kutibu kucha I see)
*Valentina (mamaa wa kulia ndani ya Range)
*HR66 (kuna kukosea na kusameheana,hata kama hujaomba msamaha nimekusamehe)
*ISIS
N.B na wengine wote nawapenda sana
Ha haa mwenzangu heri kulia kwenye range bajaji namwachia kui
 
Mimi ndio bado nampanga mama la mama nanihiii
 
Back
Top Bottom