Valentines Special Thread 2017

uwiiii kumbe huwa wanaenda wengi kuazima chaja kwake.
Asprin si nilikuambia ukinichoka uniambie tu mie nitakubaliana na mawazo yako?

kwa nini unanifanyia hivi lakini? please moyo wangu mie umesahau kazi yake cjui.
STUNTER mdogo wangu hivi yule bwana asharudi nchini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…