Hatuna uhusiano wala mpango wowote, labda itokee tu...
Valentina alitaka nimuazime chaja yangu ya simu. Tatizo nikimwazima anachelewa sana kuirudisha, kwahiyo nimemnyima. Mashahidi zangu ni
Bonny na
Raimundo
Hii ndio kisa na mkasa... au unasemaje mama, nimwazime au umeridhika na utetezi wangu??