Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
ahsante mpenzi, leo uwahi basi kutoka kazini tukashehereke. :happy::happy:
Sister .............!!!!!!!!!!!!!!!!!
ahsante mpenzi, leo uwahi basi kutoka kazini tukashehereke. :happy::happy:
Poa kaka,
Nimeshangazwa na kitu kimoja hapa MMU, naona KE wanatia juhudu kutuma salamu za V day kwa ME na ME vile vile....!!
Ndiyo kawaida yetu kwamba mie na wakubwa wenzangu Asprin, Kaizer, The Boss, Mbu. Mtambuzi hatutakiwi kutumiana salamu?
Kwamba lazima niwatumie tu akina Fixed Point, snowhite, MwanajamiiOne, gfsonwin, Kaunga, Nyamayao, Paloma na wadogo zao wengine??
Kama ni mwiko basi mie nauvunja...
Nawatumia salamu za heri na baraka wana MMU wote (wakubwa kwa wadogo bila kujali wako upande gani kibaiolojia)...
Unamshika simba sharubu eeeeeehh?
Sister .............!!!!!!!!!!!!!!!!!
Unamshika simba sharubu eeeeeehh?
Hujui hata kama simba akizeeka ni simba tu?
am sorry brother......oops baba paroko.
ahsante mpenzi, leo uwahi basi kutoka kazini tukashehereke. :happy::happy:
Nakwambia, babu yangu mkali sana