Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,648
Aisee Babu bibi akitoa mualiko rasmi nitakuja. Asu wangu nishausikia. Old is gold BDC.
Atoe mara ngapi??
Au tukutumie kwa barua yenye c/o address kama enzi zetu.......
Aisee Babu bibi akitoa mualiko rasmi nitakuja. Asu wangu nishausikia. Old is gold BDC.
Atoe mara ngapi??
Au tukutumie kwa barua yenye c/o address kama enzi zetu.......
Poa kaka,
Nimeshangazwa na kitu kimoja hapa MMU, naona KE wanatia juhudu kutuma salamu za V day kwa ME na ME vile vile....!!
Ndiyo kawaida yetu kwamba mie na wakubwa wenzangu Asprin, Kaizer, The Boss, Mbu. Mtambuzi hatutakiwi kutumiana salamu?
Kwamba lazima niwatumie tu akina Fixed Point, snowhite, MwanajamiiOne, gfsonwin, Kaunga, Nyamayao, Paloma na wadogo zao wengine??
Kama ni mwiko basi mie nauvunja...
Nawatumia salamu za heri na baraka wana MMU wote (wakubwa kwa wadogo bila kujali wako upande gani kibaiolojia)...
Hahahaaa. Lols. Malizeni V day kama unavyoiita then tupange upya.
Many are the Stars I see,but in my Eye no star like Friends I see in Jamiiforum.
Happy Valentine's Day y'all. Heaven on Earth , lara 1 , charminglady , Evelyn Salt , farkhina , miss chagga , Karucee , Kaunga , Madame B and all beautiful ladies of MMU.
Nawe shiriki kwa kuwa-mention na kuwatakia salamu za siku ya valentine rafiki zako wa JF wa jinsia tofauti na yako.
OMG! ahsante sana wa ubavu wangu;
Hakuna maneno yanaweza kueleza penzi langu kwako,
Hakuna mfano wa jinsi navojiskia nikiwa na wewe,
I'm short of words, just come close...
..lean on me, close your eyes, spread your wings...
..let your spirit fly.......dream away...!
....YOU ARE MY VALENTINE!
Many are the Stars I see,but in my Eye no star like Friends I see in Jamiiforum.
Happy Valentine's Day y'all. Heaven on Earth , lara 1 , charminglady , Evelyn Salt , farkhina , miss chagga , Karucee , Kaunga , Madame B and all beautiful ladies of MMU.
Nawe shiriki kwa kuwa-mention na kuwatakia salamu za siku ya valentine rafiki zako wa JF wa jinsia tofauti na yako.
EMT, Tized, Mjuni Lwambo, DonLuchesse, lets smoke some with Don Mangi.
asakuta same, chairman JFCSC.lols,.
Hahhaaa. Thank you my dear Karucee
.
Nakumbuka mara ya mwisho nilisokotaga kipande cha gazeti nikazimua .... acha nikohoee na kuzimka!!!!. Afu kilikua na picha ya mrembo mmoja hivi matata ...you can imagine nilivyozimuka vizuri... Hahhaha
Many thanks and Much love.
Happy valentine first to my ladies AshaDii gfsonwin DEMBA. SECONDLY to all JF ladies mkiongozwa na miss neddy tinna cute Heaven ob earth Bantu lady amu Rich Woman (mwaah) BADILI TABIA cacico charminglady Arabela KOKUTONA Evelyn Salt Paloma Jeska Fixed Point Kaunga snowhite Lady doctor Smile 'Valentina' Jawilat Munkari MwanajamiiOne badiebay (sheeda jina lako) and all ladies love you much.