Tized
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 4,025
- 5,973
Hahhaaaaa. Yeah nimewahi kutunduka kidogo. Ninavyoonekana mpole sasaaa!!!... nikieleza stori zangu za utungu sio rahisi mtu kuniamini.... naonekanaga najisingizia.. inabidi nilizimue ziku nilete kwere nyingi sana.. Nawapimia tu? angalao nipunguze kuonewa onewa huruma
Afu kule kijijini tulikua tunalima tumbaku... sema ilikua ya akina Babu wanasaga na kuvuta (ugoro)...
Afu kule kijijini tulikua tunalima tumbaku... sema ilikua ya akina Babu wanasaga na kuvuta (ugoro)...
Hahahaaaa. Lol. Kumbe zshawahi kuwa mtundu eh?
donlucchese sijuu yuko wapi? Nilikosea kummention.