Mmmmmhhhhhhh!!!!
ayaaa nitamani huyo "ozzbend" ningekuwa mimi.
happy valentine's day to you, the ''unayeweza-kuwa-mtarajiwa''!!!
Salam yako kaa nayo
Siitaki ........lol!!!!
Thank you kadoda1 and HVD to you fine young man.
More greetings go out to Nyani Ngabu my fav PIC, Dark City- Babu vunja mifupa kama bado meno ikoooo, BAK- The Inspirer, SHERRIF ARPAIO- You can hide, but you cannot run from me, Mentor, my BFF- Kindly leave #TB , you do not belong there.
TCleverly HVD, Kamanda Moshi- Enjoy!! Fidel80- leo usicheze mpira lol, EMT, Tized, Mjuni Lwambo, DonLuchesse, lets smoke some with Don Mangi.
asakuta same, chairman JFCSC.lols, OLESAIDIMU- No comment for you bad ass, Tuko, much love, Eiyer, hope u find what you desire, heaven on desert, nobody hates you in here utafiti, hvd my friend.
HVD goes to my beloved gobore and the rest of JF dudes. An following the rule, no dedications to girls.
alaaaaaa....kuuumbeeee!!!! Haya basi tutaonana!!!
Happy Valentine's day to you JF members! I love you all.
Nyimbo za bibi kali. Asante.
Sitaki kuonana na wewe
Ninakuja huko na nilikua nimekluweka kwenye orodha ya nitakao watembelea
Nimekuondoa kwenyi list
Kwaheri ya kuonana .......lol!!!!!!![/QUOTE
Kwa hiyo hutaki pia kucheza na yeye....lol!!
Nawatakia "V" day njema wadau wote wa MMU na JF kwa ujumla!!
Tena nilikuwa nimepanga kucheza nae mchezo mzuri sanaKwa hiyo hutaki pia kucheza na yeye....lol!!
Asante sana babuNawatakia "V" day njema wadau wote wa MMU na JF kwa ujumla!!
Ndiyo maana tunakukaribisha uje tukuimbie kiduchu....
Halafu collection ya Bibi ina utajiri mwingi sana wa nyimbo, hadithi na mazaga zaga kibao....
Ulishasikia wimbo wa Abdul Misambano wa "Asu wangu"??
Tunautafuta huu wimbo toka 2010 na Rose1980 alituahidi kuwa watatupa....
Tena nilikuwa nimepanga kucheza nae mchezo mzuri sana
Tena mtamu kweli kweli .....lol!!
Asante sana babu
Ukimuona KOKUTONA mwambie sio vyema kabisa anavyofanya .....lol!!