Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,956
Nakupenda Patna wangu
nakupenda pia patna!
ila hii mambo zenu za vd..........mhhhh
Nakupenda Patna wangu
Yakuonana!!!!!!!!!!
Unamshika simba sharubu eeeeeehh?
Hujui hata kama simba akizeeka ni simba tu?
poa. ila yangu mie macho..............
Umesamehewa dhambi zako. Enenda kwa amani mjukuu.
Ha ha ha aaaaaa ndo usirudie.
Lol... hatimaye nimenza kutajwa mweeeeeee.... ZE SEM TU YUU MAMI...
cc
Heaven on Earth
Mimi tena?
Happy valentine to all JF members
U bold na u underline.....unataka nichapwe na babu wewe?????
hubby kuja upande wa pili, pande za wozap! Pulizzzzzzzzzz
I need that something between your ......!!
Usimwambie mtu ...lol!!
Na ndio ninaoufuata!!