HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,704
- 48,140
Rafiki yangu ameshakusikia, nimeshamfikishia ujumbe, amekuelewa amekubali hatoendeleza kumwaga sumuUliokagua wanakutosha achia na wengine bana
Rafiki yangu ameshakusikia, nimeshamfikishia ujumbe, amekuelewa amekubali hatoendeleza kumwaga sumuUliokagua wanakutosha achia na wengine bana
Yeyote mwenye utafiti​ juu hasa ya kuwepo kwa hii siku ashuke madude hapa.utafiti unaendelea mkuu chanzo kabisa wa siku hii bado haijakaa sawa kila chanzo kinasema tofauti na kingine
Kiss tamu mpaka nasinziaWoow! Receve my big kiss
Hayohayo majibu mengi ndio tunayataka ili tu analyse ukweli ni upi.Huwezi kupata jibu moja mkuu, nishafanya utafiti ila majibu yanakua mengi
Happy valentine to you my luv RR ..............luv u so much!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hayohayo majibu mengi ndio tunayataka ili tu analyse ukweli ni upi.
Ili mradi tu utuambia huo utafiti ​umeufanyaje pamoja na source za taarifa zako.
Uwiiiiiiii this is real mess.......
EMT & Kiranga ​might know something about the history of Valentine, haya majamaa yako nondo sana.Haya basi naomba huu utafiti ufanywe na member wote pamoja na wewe mkuu Mjuni Lwambo ili tupate jibu moja
Uliokagua wanakutosha achia na wengine bana
Mie bwana ugoro wa bibi niliweka mdomoni aisee si kizungu zungu hiko. Mpaka nilidondoka.Hahhaaaaa. Yeah nimewahi kutunduka kidogo. Ninavyoonekana mpole sasaaa!!!... nikieleza stori zangu za utungu sio rahisi mtu kuniamini.... naonekanaga najisingizia.. inabidi nilizimue ziku nilete kwere nyingi sana.. Nawapimia tu? angalao nipunguze kuonewa onewa huruma
Afu kule kijijini tulikua tunalima tumbaku... sema ilikua ya akina Babu wanasaga na kuvuta (ugoro)...
Kiss tamu mpaka nasinzia
Ooh really? Take it a gain mwaaaaaaaaaaah
Wengine tulishapinda tulipofika kukaguliwa geti likafunguka bila ukaguzi. Lol.Mimi ndo mkaguzi mkuu. Kam this way my grandie.... chapchap sana kabla sijabadili mawazo.
wee usingewa-mention hao wasije wakaja kutuvurugia jukwaa.watakuja kudai valentine day ni sikukuu ya makafiri.lol
Nahitaji msaada wako plzz
Wengine tulishapinda tulipofika kukaguliwa geti likafunguka bila ukaguzi. Lol.