Valentine's day special greetings Zone

Valentine's day special greetings Zone

Last edited by a moderator:
My switie switie! My valentine!

My baby oh, my Angelicious..!

Oh moyo wangu..! Nakupenda switie!

I love you my Angelicious!

You are my eden garden...! You are my heart soap!!

Love you angex!
 
Last edited by a moderator:
Asante mkubwa Kaizer

mamii please change your avatar!!

niambie nikupe hata kapasipoti kangu ukawekepo hapo lakini sio huyo ndege!!

pleaseeeeee!!!!

huyo ndege ananikumbusha machungu sana..! i hate it to the most!!
 
poa mkuu!

malizia kabisa huu wimbo!



uwafikie wote parokiani..!! Eiyer (nakusaka sana, mshamba sana we paroko!) mwallu (my mmh! mmh!) n DEMBA (ntakwambia chako badae!)


Hizo nyimbo wape watoto
Sisi watu wazima tunaburudika na makitu kama haya

 
Last edited by a moderator:
Hizo nyimbo wape watoto
Sisi watu wazima tunaburudika na makitu kama haya



aah! parokooooo!!! nimekuelewa saana!!

mambo vipi lakini bana? mnasemaje huko ilemela?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom