Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 14,563
- 22,839
Babu ndo mambo gani hayo tena kwani bibi umemuacha wapi wewe unakimbilia kwa vijana hukuNa mimi please.
Babu ndo mambo gani hayo tena kwani bibi umemuacha wapi wewe unakimbilia kwa vijana hukuNa mimi please.
Jipeni moyo tu. Mkikosa mabwana msinilaumu.
Mmmh! jamani rahaaaa kupendwaaaa asanteeee!Ooh really? Take it a gain mwaaaaaaaaaaah
Hahahaaaaa. Mi nshakosa.
Babu ndo mambo gani hayo tena kwani bibi umemuacha wapi wewe unakimbilia kwa vijana huku
Karibu ningemisi hiki spesho toka kwa my valentine......
Thank you....baadae pale pale mpenzi....:A S-heart-2:
Na mimi please.
Bantu lady leo tuvalentinike tu kwanza mengine baadaye
Heheee babu,we la kwako kesho
Ukiona hivyo ujue wewe ni second option kwake! jipange chukua hatua.
Daaah unazid kunkata maini sasa
Mie bwana ugoro wa bibi niliweka mdomoni aisee si kizungu zungu hiko. Mpaka nilidondoka.
OMG! ahsante sana wa ubavu wangu;
Hakuna maneno yanaweza kueleza penzi langu kwako,
Hakuna mfano wa jinsi navojiskia nikiwa na wewe,
I'm short of words, just come close...
..lean on me, close your eyes, spread your wings...
..let your spirit fly.......dream away...!
....YOU ARE MY VALENTINE!
happy valentine to you Tuko love you much,..
Excel....
The Boss
watu8
@Aspirin
utafiti
heaven on desert
mwekundu
Ngalikihinja
binamutz.......na wengine niliowasahau..
Ujumbe tudumishe mapendo!