Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,844
- 52,251
Chochote waonacho kitafaa..
Last edited by a moderator:
hebu sema bana.. actually, nakupa freedom infront of people. hakuna atakae thubutu kuongea!
sema kwa sauti ya juu kabisa what do you want!
Hahaaa,mkeo anaitwa nani vile
Many are the Stars I see,but in my Eye no star like Friends I see in Jamiiforum.
Happy Valentine's Day y'all. Heaven on Earth , lara 1 , charminglady , Evelyn Salt , farkhina , miss chagga , Karucee , Kaunga , Madame B and all beautiful ladies of MMU.
Nawe shiriki kwa kuwa-mention na kuwatakia salamu za siku ya valentine rafiki zako wa JF wa jinsia tofauti na yako.
ushaanza na wewe!! wanawake wa uswazi utawajua tu!
vidole juu utadhani wanasachi netiweki!
Really???
Heeeeeeeeeh......tubu sambi sako
Ma padri hua wanaoa?
Hii siku mbona mnaitukuza sana???
Nimetenda ipi?
Hiyo hiyo
Wa wapi unataka kujua?
Kwani wapo ma padri wa wapi na wa wapi?
Hiyo hiyo ndo nini bana?
katoliki na orthodox !!
asakuta same, chairman JFCSC.lols,