Valentine day;mchagulie member wa JF umpendae

Valentine day;mchagulie member wa JF umpendae

h70792B82

This is for you Tyta.........Happy Valentine........
ImageUploadedByJamiiForums1392141825.247583.jpg
 
Last edited by a moderator:
Yangekua mabichi tukala na chumvi na pilipili😉😉😉😉😉😉😉😉

Namna hiyo wanakula wenye mimba changa bwana.....

Sie tunakula mabivu kwa kukata kipande na kutia mdomoni...ila yasiwe rojorojo kama ya vibogoyo!
 
Namna hiyo wanakula wenye mimba changa bwana.....

Sie tunakula mabivu kwa kukata kipande na kutia mdomoni...ila yasiwe rojorojo kama ya vibogoyo!

Sawa.....hadi kumaliza pakacha sijui susu lote hilo lazma mtu anukie embe...
 
Mimi nawachagulia mom and dad mr and mrs Arushaone hayo maua mekundu yawe zawadi yangu kwao wakazidi kupendana kama mawingu na mvua
cc karucee

Ua jeupe limfikie new born kutoka kwa passion lady

Team bazazi wote atakaewahi kunipa ua nitamtoa out
 
Last edited by a moderator:
Karucee njoo kwa bibi tukavimbiwe maembe kwenye valentine day....

Eti wengine wanaita "V" day.....lol!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom