Valentine day;mchagulie member wa JF umpendae

Valentine day;mchagulie member wa JF umpendae

Chumba kipo tena cha kukutosha wewe na msindikizaji wako....

Ila naomba kukueleza kwa masikitiko kuwa hatutaweza kuonana this time....mie na bibi tunaenda kwenye party ya wastaafu huko Lushoto....ila kama unataka kukomazwa ungali katoto naweza kukupatia address!

Ningekuwa sijastaafu ningekuimbia huu wimbo....but any way.... Ni zawadui yangu kwa hata kwa wadau wengine ambao watakumbwa na mambo kama hayo!



Dahhhhhhhhhhh.......nishakukosa.
Mie bado mtoto.....naogopa.
 
Last edited by a moderator:
dont worry..,,,,,,


si ulitaka gari baiskeli umekataa,
si ulitaka boga,dagaa ukakataa,
si ulioniona sina mali,ukadhani sitapata mwali..
Sasa umeshtuka na kibao kishageuka.
Si nlikuomba mwanzo ukanikataa..sasa iweje swali unaulizaaa...
endelea kunitongoza huwa napenda sana nitakubali
 
Back
Top Bottom