Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,652
Dahhhhhhhhhhh.......nishakukosa.
Mie bado mtoto.....naogopa.
Hiyo adabu umeinunua wapi....
I just loved you for that.....
Adabu kwa mtoto ni zaidi ya sunah!
Dahhhhhhhhhhh.......nishakukosa.
Mie bado mtoto.....naogopa.
ntashindwajeeeeee.... we si alikuwa anakutania tu ukapata kiiichwa ukaona unapendwa kumbe mwenzio anakuchora tubibie unaonekana umeshindwa ndo maana kanitongoza mimi nimpe raha za kichaga
kaa mbali na Tyta wangu tutaonana wabaya
naomba akwambie kwa nini alitaka kujiua kwa ajili nimemkataaa
aaah wapii chumbani ndo atanieleza kinagaubaga, na akizingua nitamfungia ndani mwezi mzma
wewe wewe ukimfungia siku ya kumfungulia nitamkubali kabisa kabisa
ajiueeeee? kwani hataki raha zangu?
ntashindwajeeeeee.... we si alikuwa anakutania tu ukapata kiiichwa ukaona unapendwa kumbe mwenzio anakuchora tu
ahahahaaaa, mi sipendi ungomvi bhana siwezi kupigana
ahahaaaaa!!!!!!!!
Bebitooooooooo
Utamponza mtoto wa watu yamkute ya kilimwengu!!!!!!!!
wakumbuke na hapa baada ya uzinziMchagulie member umpendae zawadi ya maua katika ya haya kwa ajili ya valentine day kabla mwengine hajakuwahi🙂🙂
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()