wosia wa mdogo...asanteee
Hahahah dharau zako tu mi ndo zinaniuz
Hahahah nalo nenoooo
Twin sister nianze kujitanua?
Maana mie ndio wa kuandaa kitchen party ujue!!!
Tena uanze kabisaaa taratibu zoteTwin sister nianze kujitanua?
Maana mie ndio wa kuandaa kitchen party ujue!!!
Uuuupsi tusitie neno...Hahahahah na wewe umeona eeh?
hhahahha yani ulivyonikalia kooni sungura1980 heeee....haya nimekusikia babaHongera Vaislay,,naamini utakuwa mke mwema!!Ila yule jamaa aliyeuliza kama ni 7.5mm urefu wa kutoka Dar mpaka Moro kaniacha hoi,itabidi baada ya ndoa uje kutupa mrejesho!!
Naomba usikike wewe kama dada mkubwa tafadhaliUuuupsi tusitie neno...
Moja haikai.
Mbili haikai
Naweka tatu naona reserve tuuuuuu
hhahahha yani ulivyonikalia kooni sungura1980 heeee....haya nimekusikia baba