Vaislay unahtajika

Vaislay unahtajika

Utakapo kutanane nae face to face tunaomba mrejesho usije ukakaa kimya maana inaweza kuwa tamko la kukubali hapa afu baadaye kimya kikatawala na ID ikabadilishwa Vaislay

I will mkuu
 
Last edited by a moderator:
TAMKO;Mimi Vaislay nimekukubali bwana@7 5 mm, uwe mume wangu lakini naomba useme kabisa mbele ya wote,hutakuwa unachepuka, Wote watakao kumendea mendea utaniambia,watakao rusha mikuki yao PM unanionyesha...

Lakini napenda kukufahamisha mume mtaraji mimi nina lichepuko langu la milele Kaizer nitahitaji muda wa kuliacha taratibu
NDUGU; Dinazarde ICHANA@khantwe naomba muanze maandalizi ya taratibu zoote Mtoto halali na hela nakutegemea sana..... Asprin nahitaji unifanyie mambo ya maujumbe namna ya kudumu ndoani

Vaislay tambua sio kila mwanaume anayekuja hapa anafanya jokes wengne tupo serious kabisa.
Unanipa wasi wasi sana kama hilo ulilosema ni kweli kabisa. Au ni njia ya kunikatisha tamaa? Sna nia mbaya na ww Vaislay
 
Bamkubwa Kaizer nakuomba sasa umpe nafasi huyo mtoto Vaislay afurahie maisha yake na mume wake mpya
 
Last edited by a moderator:
TAMKO;Mimi Vaislay nimekukubali bwana@7 5 mm, uwe mume wangu lakini naomba useme kabisa mbele ya wote,hutakuwa unachepuka, Wote watakao kumendea mendea utaniambia,watakao rusha mikuki yao PM unanionyesha...

Lakini napenda kukufahamisha mume mtaraji mimi nina lichepuko langu la milele Kaizer nitahitaji muda wa kuliacha taratibu
NDUGU; Dinazarde ICHANA@khantwe naomba muanze maandalizi ya taratibu zoote Mtoto halali na hela nakutegemea sana..... Asprin nahitaji unifanyie mambo ya maujumbe namna ya kudumu ndoani

usijali twin, mi na wewe dam dam
 
Last edited by a moderator:
Hongera Vaislay,,naamini utakuwa mke mwema!!Ila yule jamaa aliyeuliza kama ni 7.5mm urefu wa kutoka Dar mpaka Moro kaniacha hoi,itabidi baada ya ndoa uje kutupa mrejesho!!
 
Last edited by a moderator:
Subiri hapo hapo ukutane na shape ya kiume.

Kama unadhani id zote zenye majina ya kike ndio uhalisia wenyewe yatakukuta!
 
Vaislay tambua sio kila mwanaume anayekuja hapa anafanya jokes wengne tupo serious kabisa.
Unanipa wasi wasi sana kama hilo ulilosema ni kweli kabisa. Au ni njia ya kunikatisha tamaa? Sna nia mbaya na ww Vaislay

Mkuu umedhamiria! Bora umekubaliwa maana ulivyopania halafu ungepigwa chini, daaaah! lakiniiii, utayaweza ya for better for worse, 'till death do us apart?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom