Vaislay unahtajika

Vaislay unahtajika

Kwanza aweke picha tumuone asije kua ndugu yake na Remy
Kusema hivyo ndugu zangu manake nini? Hamtaki shemeji? miss chagga kajitolea pale kushikilia mapesa Ennie mkubwa mwandaa kitchen party...ndugu zangu mnasua sua hamnitakii mema au?
 
Last edited by a moderator:
Langu neno mwanaume huyu anayataka kuoa tufamfanyia utafiti... Dinazarde kashasema aweke picha na pia tunataka CV yake ...family background .... Kaizer amekubali uolewa

Mume ajitambue mdogo wangu usiwe na haraka

kwa Kaizer bado sijasikia usemi wake,namsubiri hivi

@75mm umewasikia ndugu zangu wasemavyo? ICHANA ndio mkubwa mwenyewe, naambiwa nisiwe na haraka,
 
Last edited by a moderator:
Kusema hivyo ndugu zangu manake nini? Hamtaki shemeji? miss chagga kajitolea pale kushikilia mapesa Ennie mkubwa mwandaa kitchen party...ndugu zangu mnasua sua hamnitakii mema au?
Nakutakia mema always twin sister!!
 
Last edited by a moderator:
Ukiona hivyo jua nakutakia mema,''akili za kuambiwa changanya na za kwako"!Na sio kila ving'aavyo ni dhahabu pia mshike vema akupandaye ndiyo dhahabu hiyo vinginevyo you may wake up in the morning and realize that you have lost diamond while you were too busy collecting stones!!

Looh,maneno mazito haya yananifanya nihisi kubadili maamuzi
 
Picha orijino sio photo point
Kirahis rahis tu apate mke

Shem ICHANA mambo siku hizi yamebadilika,,nakumbuka enzi zetu mpaka ukubaliwe kazi unayo!Nakumbuka kakangu Mokoyo alivyohangaika sana hadi kukupata!!Hahahahaaa mitambo ya analojia ilishazimwa,siku hizi ni dijitali kwa kwenda mbele
 
Last edited by a moderator:
kwa Kaizer bado sijasikia usemi wake,namsubiri hivi

@75mm umewasikia ndugu zangu wasemavyo? ICHANA ndio mkubwa mwenyewe, naambiwa nisiwe na haraka,

Mchepuko wako #kaizer # anakujali na yupo makin hawez sema neno bila kuwa na uhakika ...anacheki ac ya @75mm tujue chanzo chake

TunatAka uwe na ndoa sio ndoano#gilesi# wengi siku hiz
Tunataka tujue ukidume wake.
 
Last edited by a moderator:
Mchepuko wako #kaizer # anakujali na yupo makin hawez sema neno bila kuwa na uhakika ...anacheki ac ya @75mm tujue chanzo chake

TunatAka uwe na ndoa sio ndoano#gilesi# wengi siku hiz
Tunataka tujue ukidume wake.

Dada umesema, nisaidie basi kucancel kwa aliyekuwa mume mtarajiwa
 
Asante twin,ila nahisi kuyumba kimsimamo,wanandugu wameingilia kati

Umakini muhimu twin,fanya home work yako vema ukijiridhisha family ipo to give you the support you need.
 
Shem ICHANA mambo siku hizi yamebadilika,,nakumbuka enzi zetu mpaka ukubaliwe kazi unayo!Nakumbuka kakangu Mokoyo alivyohangaika sana hadi kukupata!!Hahahahaaa mitambo ya analojia ilishazimwa,siku hizi ni dijitali kwa kwenda mbele

Umenikumbusha mbali sana
Ivi shem unakumbuka ile siku mlipotoka kucheza mpira mkanisubir mm natokea kisiman kuchota maji? Ila nyie mliiangaika sana na hii imesaidia kujuana vyema kuanzia familia na tabia ndo mana ndoa Yang ina upendo siku zote Mokoyo my California king bed.
 
Hahahaaaaaa,kaka anakubebea ndoo ya maji mpaka karibu nyumbani kwenu,then tunarudi kisimani kukusubiri urudi kuchota tena!Sasa kumbe wakati mwingine umeambiwa maji yanatosha,haaa tunakaa kisimani na kaka tukikusubiria bila mafanikio mpaka usiku
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom