Vaa ya walokole hunifurahisha sana.


Mtoto wa Baba

Mtoto wa Baba

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2018
Messages
1,543
Likes
1,755
Points
280
Age
24
Mtoto wa Baba

Mtoto wa Baba

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2018
1,543 1,755 280
mtoto wa baba ww mie nacheka.had kichwa kinauma..ww wawajua aisee yaan dah..hahahahahahah..wapo wengi sana pande hizo yaan utacheka ufe....alafu trauza wanasimamisha marinda hatari tupu
Hahahahahaahahahah yaani suruali kama mfuko wa mashineni na mashati mapana ya mikono mirefu halafu wanachomekea upepo ukija yaan suruali na shati vyote vinapepea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto wa Baba

Mtoto wa Baba

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2018
Messages
1,543
Likes
1,755
Points
280
Age
24
Mtoto wa Baba

Mtoto wa Baba

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2018
1,543 1,755 280
hahaha
hiyo kweli.
Hata sisi wasabato nao zamani ilikuwa hivyihivo ila sio yale ya kung'aa.
Siku hizi walokole nao wakipata exposure wanavaa kawaida, mfano mmoja yuko mbezi stand asubuhi anahubiri pale Jamaa Yuko smart kavaa kawaida bila mikogo ya manguo ya kung'aang'aa na hana wasiwasi.

Labda wanakuwa bize na Yesu, ila katika Yote yale Makoti makubwa kama CYBORG au Viatu rangi mbili huwa siyakubali kabisa.
Yaan koti mtu akivaa utafikiri ametundika hahahahahahaha siyo poa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
6,456
Likes
9,905
Points
280
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
6,456 9,905 280
Hahahahahaahahahah yaani suruali kama mfuko wa mashineni na mashati mapana ya mikono mirefu halafu wanachomekea upepo ukija yaan suruali na shati vyote vinapepea

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nataman kukaa chiniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ upande m1 wa suruali zinatoka.skrti 2 kubwa tu hahahahah yaan surual 1 inatoa sket4πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...dah those days jaman.ilikua full kucheka..nacheka hapa jamn hahaha hD kichwa kinauma
 
Prince Dos Santos

Prince Dos Santos

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2016
Messages
1,199
Likes
1,017
Points
280
Age
26
Prince Dos Santos

Prince Dos Santos

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2016
1,199 1,017 280
hahaha
hiyo kweli.
Hata sisi wasabato nao zamani ilikuwa hivyihivo ila sio yale ya kung'aa.
Siku hizi walokole nao wakipata exposure wanavaa kawaida, mfano mmoja yuko mbezi stand asubuhi anahubiri pale Jamaa Yuko smart kavaa kawaida bila mikogo ya manguo ya kung'aang'aa na hana wasiwasi.

Labda wanakuwa bize na Yesu, ila katika Yote yale Makoti makubwa kama CYBORG au Viatu rangi mbili huwa siyakubali kabisa.
koti la cyborg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanungila Karim

Kanungila Karim

Verified Member
βœ…
Joined
Apr 29, 2016
Messages
5,674
Likes
5,063
Points
280
Age
22
Kanungila Karim

Kanungila Karim

Verified Member
βœ…
Joined Apr 29, 2016
5,674 5,063 280
Huwa wanapendaga sana misifa hawa watu
 
The only

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Messages
3,458
Likes
2,878
Points
280
The only

The only

JF-Expert Member
Joined May 19, 2011
3,458 2,878 280
Hahahaha nimecheka sana !
MCHANGO WANGU

Nadhani kila kundi katika jamii kutokana na itikadi zao kufanana hujikuta wanamuda mwingi wakuongea (wasiliana ) hivyo kujikuta wana misimamo pia inayoendana kuhusu hata mambo yasiyo husiana moja kwa moja na dhima kuu.
MFANO
- Madaktari wengi huwa wanamiandiko mibaya ,nadhani ni uharaka unaohitajika katika kuhudumia.
1546622692407-png.986098

- Wahasibu huwa watu wataratibu na watu wakufuata sana vitaratibu vidogo vidogo,nadhani pia mnapata picha.

-Waislamu wengi huwa hawavai serious ,utakuta wengi kavaa shati kubwa hajachomekea ,suruali bila mkanda ,chini lazima ana sandals hata kama ni kikao very serious hebu ona siku ya kukabidhiwa kugombea maalim alivyovaa
1546622950903-png.986100

chini sandal saafii.

NIRUDI KWA WALOKOLE
Nao kama wenzao waislamu hujikita kuwa na muonekano wa kiadilifu kuliko kuendana na fashion ,majority ya waislamu na walokole ni watu wenye elimu ya chini hivyo hawana exposure wala kipato cha kuendana na fashion tunayodhani mimi na wewe ndo inapaswa ,chunguza viongozi wao mbona hawavai hivyo wakishakuwa na mapato makubwa tizama picha hizi
1546623306877-png.986104

walokole wa kawaida
 

Forum statistics

Threads 1,250,498
Members 481,367
Posts 29,735,680