Tupo pamoja nami nilikua kwenye ile shortlist ya malecela ya kuanzisha tawi jipya USA. Nimekuja kwenye interview.
Sweetlady umesema uko Arusha?? = Moshi=Kilimanjaro= Wach*g*.
Najaribu kuconnect hizo star.
Utamu wa mashine ni relative term. Ni suala la kisaikolojia zaidi. Ukishapenda, regardless of anything, mashine itakuwa tamu. Utamu wa ile kitu si sawa na sukari, kwamba ina ladha moja....Utamu hutegemea na mtu na mtu.....yaweza kuwa tightness, joto, namna anavyoitumia, miguno anayotoa, caressing, positions et el.
Kama mimi sina mahaba na miguu, haimaanishi mwanamke akiwa na miguu mizuri lazima atanipa utamu wa mashine yake kitandani...NO WAY!....babu anarudia tena....MIGUU SIYO KIGEZO CHA UZURI/UTAMU WA MWANAMKE.
Babu anarudi kitandani kuuangalia uzuri wa sura ya bibi yenu.
PHP:babu i love you! Agiza kinywaji bil lete kwangu!
Ni lini utaweka picha ya avatar wako humu SweetLady?
Kwetu sisi wabongo usafiri ni kiungo muhimu sana kwa mwanamke... usafiri mzuri unampa uhuru wa kuchangua nguo za kuvaa kwa amani sana, kinakufanya ujiamini zaidi barabarani, hata kwa wanawake wenzio.......... la sivyo utasikia, huyu naye, milonjo mibaya kama nini na haoni hata aibu kuionyesha!!!!!!
Mi nimeipenda hivo hivo.Na mimi mwenye miguu kamachupa ya pepsi inakuaje????
The finest usitunyime tafsiri yako kwenye hizi picha ulizozitundika............................zinatoa ujumbe gani?
PHP:[B][IMG]https://www.jamiiforums.com/images/icons/icon1.png[/IMG] Re: usafiri wa mwanamke.......kipimo cha uzuri wake? [/B][PHP] [IMG]https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=28762&d=1304166425&thumb=1[/IMG][INDENT] . [/INDENT][/QUOTE] Hizo picha za TF sidhani kama ni miguu tu ndo ameangalia hapo ,,,,
Hivi wakisema kila mtu ajichagulie mwenza kutokana na picha za JF nani atadoda, na nani atakimbiliwa? Ahh. Nimekuwa najiuliza maswali sana kuhusu hizi picha. Mfano picha ya Asha na Saweboy?
LOL....NK acha ukorofi wewe.... Avatar yangu mbona poa tu, kwanza ktk hilo zoezi hata nikikosa mwenza ndo poa nitakua matron wenu... lol
Asha D. yaelekea mwoga wewe wa kutokewa ndo maana unaweka picha ya kutishia watu. Nina hakika hiyo picha ni opposite. Najaribu kutumia saikolojia ambayo sijasomea na kuconnect chaguo lako la picha na wewe mwenyewe. Ningekuwa mwanaume na naambiwa nichague, wewe ungekuwa chaguo langu la kwanza aisee.
ukweli wa kufanyaje????????Hakuna ukweli.
daahh
thread nyingine bwana..
nasubiria mtabiri wa viganja
kuna msemo nimesikia kwa wanaume wanawake
wenye magoti yameshikana ndio kiboko kwa utamu je
hapo inakuwaje
kila mtu anapata utamu wake kuendana na wanavyopelekana
mi nasubiri wa nyusi.