Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

tabutupu umenifurahisha kweli na post yako
 
...............na ukiona dume limenuna je?
 
Yaani Husninyo ungepatiwa picha ya mwanaume anayemuota mwanamke yeyoye... ungeshaaa...

ni kweli hufikiria kuwa na watu waliokamilika kila idara lakini hiyo si sababu ya kumfanya mwanamke awe na furaha. Wapo wana huzuni sana kwa kutokua na mpenzi.
 
Uzuri wa mwanamke upo moyoni mwake, huwezi kuujua mpaka uishinae kwa muda fulani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom