Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,677
- 167,620
- Thread starter
- #81
Kwa hiyo wowowo ndio darubini ya kuangalizia tabia?Kwasababu tabia haiandikwi usoni.
Kwa hiyo wowowo ndio darubini ya kuangalizia tabia?Kwasababu tabia haiandikwi usoni.
Nasikia leo umeanzisha fujo kwenye bunge la katiba.
maini ya kike yanaaka huko kumbe
wananume wengi wa siku hizi akili zao ni ngono tu... waza sasa vivutio vya ngono viko wapi!
1. mat.tak.o makubwa
2. urembo wa mwanamke.. uso huo
3. matiti.. attractiveness ya matiti inaamsha akshi za ngono..
4. mavazi..nk
kila mtu ana kitu anaangalia kabla ya tabia, wengine ----, macho, shingo. lips, hips, rangi etc alafu tabia inafuata.Kwa hiyo wowowo ndio darubini ya kuangalizia tabia?
Nendelea kuwaza, kutafiti, kubisha, kukubali....ahhhhhggg nachanganyikiwa miyeUzuri wa mwanamke ni sura na shape tabia utamrekebisha....
Tabia kijijini mjini sura na shepu.....endelea kutafakariNendelea kuwaza, kutafiti, kubisha, kukubali....ahhhhhggg nachanganyikiwa miye
Hatari sana sheikhnimeliona tayari lols