Uzuri wa mwanamke tabia, kwanini unamuangalia makalio?

Uzuri wa mwanamke tabia, kwanini unamuangalia makalio?

raha ya kondoo mkiaa
so kabla hujaanźa kumla lazma upime saiz ya mkia
 
Tabia ya mwanamke iko makalioni
mkuu bujibuji ulikuwa hulijui hilo?
 
Uzuri wa mwanamke ni sura na shape tabia utamrekebisha....

lakin mbona wazur wengi na wnye shep ndio wanaongoza kwa kuzalishwa na kutoolewa??? Hapo ndio mnajidanganya. Wanawake wazur na wenye shep hao ni maalum kwa kuwagegeda na kuwaacha lakin sio kwa kuoa
 
Back
Top Bottom