Uzuri wa mwanamke tabia, kwanini unamuangalia makalio?

Uzuri wa mwanamke tabia, kwanini unamuangalia makalio?

tabia haziangaliwi kamwe! tabia zinafanyiwa analysis and assessment.. na ieleweke kuwa hicho sio kitu cha dakika mbili tatu

as long as makalio ndio priority ya wakware wengi.. wapeni!
 
Uzuri wa mwanamke unategemea na priorities za mtu anayemuitaji! Kwa mfano mie siwezi oa mwanamke aliyenyoka, nitashika wapi? Lakini wengine wanaoa!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Shikamoo mkuu wangu Bujibuji

Labda alikuwa anaongelea uzuri wa ndani na si
Wa nje ... Maana uzuri wa nje ni mwingi na sometime
Complicated . ..

Mara wowowooooo, Yule anapenda mguu chupa ya bia
Sijui saa Sita ndio mtindo , ooohhhhh kiuno
Mtoto kiuno ndio mambo yote mmmhhhh

Lakini mtu akiwa na tabia nzuri hata akikosa
Hayo madoido yote bado atapendwa.

Sasa we ukutane na binti murembo halafu akuangalie
Kama Choo cha stendi duuuuhhh

Nisikosoe sana kuna wengine wanatabia nzuri
Na pia wamejaaaaliwa.
 
Last edited by a moderator:
Oooooo right wapenz Wa JF kwa maada nzr ya kuelimisha ila ni ivi kwangu .mm kweli napenda kalio kubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!! Ila .....tabia siangalii koz mwenyewe ni na tabia mbaya so tukipendana tabia 2tafumdishanaaaaaaa
Au vipi wadada wenye big batakoz!!!!
 
wananume wengi wa siku hizi akili zao ni ngono tu... waza sasa vivutio vya ngono viko wapi!

1. mat.tak.o makubwa

2. urembo wa mwanamke.. uso huo

3. matiti.. attractiveness ya matiti inaamsha akshi za ngono..

4. mavazi..nk

na akili za wanawake wa sasa hivi zipo matakoni.
atafanya kila juhudi afanyayo ili kupendezesha makalio.

wanavaa nguo za kubana wanatembea bila chupi ilimradi 2 ------ yaonekane kwa wanaume kama mjuavyo biashara matangazo .
matangazo yanafanyika vizurii wateja wanaikubdli bidhaa but wao ndio wanageukiwa nakuonekana wanspenda sana makalio
 
Tabia ni kitu muhimu lakini kwa sisi wa africa wowowo ni main catalyst ya mahusiano.
 
Oooooo right wapenz Wa JF kwa maada nzr ya kuelimisha ila ni ivi kwangu .mm kweli napenda kalio kubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!! Ila .....tabia siangalii koz mwenyewe ni na tabia mbaya so tukipendana tabia 2tafumdishanaaaaaaa
Au vipi wadada wenye big batakoz!!!!

hahaha,umenchekesha sana
 
na akili za wanawake wa sasa hivi zipo matakoni.
Atafanya kila juhudi afanyayo ili kupendezesha makalio.

Wanavaa nguo za kubana wanatembea bila chupi ilimradi 2 ------ yaonekane kwa wanaume kama mjuavyo biashara matangazo .
Matangazo yanafanyika vizurii wateja wanaikubdli bidhaa but wao ndio wanageukiwa nakuonekana wanspenda sana makalio

aiseeeee.......!!!!!!!
 
Bujibuji bado upo analogy enzi za digitally flat screen ndoo mpango mzima
 
na akili za wanawake wa sasa hivi zipo matakoni.
atafanya kila juhudi afanyayo ili kupendezesha makalio.

wanavaa nguo za kubana wanatembea bila chupi ilimradi 2 ------ yaonekane kwa wanaume kama mjuavyo biashara matangazo .
matangazo yanafanyika vizurii wateja wanaikubdli bidhaa but wao ndio wanageukiwa nakuonekana wanspenda sana makalio

hahaaa!! sijui niseme ni kweli ama?

wanawake wanawaza njia mpya kila siku za kuwa kivutio kipya kwa mwanaume!

hilo suala la akili kuwa matt.akoni sasa! kazi ipo!
 
Back
Top Bottom