Uzuri wa mwanamke tabia, kwanini unamuangalia makalio?

Uzuri wa mwanamke tabia, kwanini unamuangalia makalio?

Sijui aliyesema uzuri wa mwanamke ni tabia alikuwa ni kipofu?
Maana kila mwanamke akipita watu wanatupia jicho kule kwa Sheikh Hilarry Kipozeo.
Hatari sana

Hahahahahaaa!
Bujibuji tabia ziko subject to change! So, awezakuwa na tabia mzuri na akabadilika faster, vivyohivyo anaweza kuwa na tabia mbaya na ukaweza kumbadilisha, you never know nini kimemfanya awe na tabia mbaya!
...
But TA.KO KAMA LIPO, LIPO TU, HATA LIKITOWEKA, INAKUWA UMESHALICHOKA!
 
lakin mbona wazur wengi na wnye shep ndio wanaongoza kwa kuzalishwa na kutoolewa??? Hapo ndio mnajidanganya. Wanawake wazur na wenye shep hao ni maalum kwa kuwagegeda na kuwaacha lakin sio kwa kuoa
Unajidanganya hadi unatia huruma...
 
lakin mbona wazur wengi na wnye shep ndio wanaongoza kwa kuzalishwa na kutoolewa??? Hapo ndio mnajidanganya. Wanawake wazur na wenye shep hao ni maalum kwa kuwagegeda na kuwaacha lakin sio kwa kuoa

Hiyo research umeifanyia wapi? Unachekesha
 
Sijui aliyesema uzuri wa mwanamke ni tabia alikuwa ni kipofu?
Maana kila mwanamke akipita watu wanatupia jicho kule kwa Sheikh Hilarry Kipozeo.
Hatari sana
Ni juu vile ya tamaa ya ngono. We mleta mada inaonesha mkeo kama kweli unaye ulimuolea juu vile ya ngono pekee yake!
 
Nafikiri makalio ndio namba moja kivutio cha sisi wanaume wengi. Mwanamke kama unayo, ongera sana. Kwa nyinyi wa flati bampa poleni sana.
 
Zamani watu walikuwa wanaangalia sura but nowdays wanasubiri sura ipite wageuke
 
MWanamke shepu na sura tabia kwa wazazi wake ..mimi mwenyewe napenda miss bantu walah ...Mungu fundi sana..
 
Shape na reception ni muhimu aisee. Hebu tuulizane hapa dar tabia ya mwanamke utaijua saa ngapi ikiwa wewe unakaa mbagala na yeye anakaa tegeta. Kwa hiyo cha kwanza kitakachokuvutia ni muonekano wake halafu hayo mambo ya tabia yatafuata baadae.
 
Sasa tutaponea wapy siee,t.ako pasi,tabia ziro..mhh,
 
Back
Top Bottom