Uzuri wa kibamia hakifiki IKIMWI ulipo

Uzuri wa kibamia hakifiki IKIMWI ulipo

Ndo wanafarijiana hapa [emoji2][emoji2] wanajua Ukimwi upo kwenye Cervix kule ndani kumbe dude hata ukisugua tu mashavu ya uke bila kuingiza ndani huko unalikwaa..
Unachubukaje uume kama kiba100 kinaelea mkuu, issue hapa ni michubuko na sisi hatuchubuki coz msuguano haupo...
 
Sisi wenye viba100 tulishafanya utafiti na kujiridhisha kwamba tuna advantage kubwa when it comes to ukimwi, sio rahisi hata kidogo as hatuchubuki!!
Kweli kabisa mkuu mimi nina ushuhuda na najua nikisema watu hawataniamini
 
Unachubukaje uume kama kiba100 kinaelea mkuu, issue hapa ni michubuko na sisi hatuchubuki coz msuguano haupo...
Utamu unaletwa na mchubuko, kama hakuna mchubuko inamaana husikii utamu.
 
Thubutu yako
 
Attachments

  • 20221224_064512.jpg
    20221224_064512.jpg
    567.5 KB · Views: 25
Kama we ni mwanaume mwenye kibamia na unajiona mnyonge kutokana na maumbile yako basi ondoa shaka

Tafiti zinaonyesha wanaume wenye uume mdogo(kibamia) ni vigumu sana kupata magonjwa ya zinaa ikiwemo UKIMWI pindi wanapofanya ngono na mwanamke kwasababu ni vigumu kupata michubuko wakati wa tendo kutokana na maumbile yao kuwa madogo na kupwaya kwenye uke yaani ni kama kuingiza kijiko kwenye ndoo kubwa ya maji hali inayowaweka salama zaidi kiafya kulinganisha na wanaume wenye maumbile makubwa

Hii ni faraja kwa team vibamia, huna haja tena ya kuhangaika kwa wataalamu kutafuta madawa ya kuongeza uume, jali afya yako kula vizuri, fanya mazoezi , kunywa maji mengi na pumzika mda wa kutosha.
Tumia hicho hicho kibamia chako mradi kinasimama na kuingia mambo ya kuhangaika et kuwafikisha wanawake kileleni hayo waachie wapanda mlima hayakuhusu

NO MORE STRESS NO BAD MOOD
mzabzab hebu thibitisha hili
 
Kwamba uningiza mshedede unakutana na OMBWEE [emoji2] ni UWAZI tu kudadeki aka VACUUM..
 
Duh aisee basi kama ni hvyo mkuu uko hararini sana
Sorry nilipanga kusema utamu unaletwa na msuguano, kama utapwaya hakuna msuguano maana yake hupati utamu. Niliteleza kusema hapo awali.
 
Kama we ni mwanaume mwenye kibamia na unajiona mnyonge kutokana na maumbile yako basi ondoa shaka

Tafiti zinaonyesha wanaume wenye uume mdogo(kibamia) ni vigumu sana kupata magonjwa ya zinaa ikiwemo UKIMWI pindi wanapofanya ngono na mwanamke kwasababu ni vigumu kupata michubuko wakati wa tendo kutokana na maumbile yao kuwa madogo na kupwaya kwenye uke yaani ni kama kuingiza kijiko kwenye ndoo kubwa ya maji hali inayowaweka salama zaidi kiafya kulinganisha na wanaume wenye maumbile makubwa

Hii ni faraja kwa team vibamia, huna haja tena ya kuhangaika kwa wataalamu kutafuta madawa ya kuongeza uume, jali afya yako kula vizuri, fanya mazoezi , kunywa maji mengi na pumzika mda wa kutosha.
Tumia hicho hicho kibamia chako mradi kinasimama na kuingia mambo ya kuhangaika et kuwafikisha wanawake kileleni hayo waachie wapanda mlima hayakuhusu

NO MORE STRESS NO BAD MOOD
Mdanganye mwenzako😆🫢 lakini walau bas awe na hela, Sasa ukute ni kb af hela hakuna hakuna rangi ataacha kuona,maana ke anakuwa na me Kwa madhumuni maalum, akiwemo anaemfikisha, anaempa ela na anaembebisha na kumpetpet🫢
 
Back
Top Bottom