Uzuri wa kibamia hakifiki IKIMWI ulipo

Uzuri wa kibamia hakifiki IKIMWI ulipo

Mleta mada sema huna pulling ya kuweza kuleta friction basi
 
😁😁😁😁!

Kwanza ukilewa unaendeshwa na pombe na si akili Yako rafikii!

Mi Napenda ile tunafanya kila kitu tukiwa na akili zetu pyuaaa

Cc Smart911
Kiijana wa 2000 niko hapa hogo langu lipo "hot 🔥"
Siunajuwa umri Bado hivyo linanguvu za kutosha situmii pombe,shisha,bangi Wala sigara, show yake kitandani utamu utasikia wew😛
 
Kama we ni mwanaume mwenye kibamia na unajiona mnyonge kutokana na maumbile yako basi ondoa shaka

Tafiti zinaonyesha wanaume wenye uume mdogo(kibamia) ni vigumu sana kupata magonjwa ya zinaa ikiwemo UKIMWI pindi wanapofanya ngono na mwanamke kwasababu ni vigumu kupata michubuko wakati wa tendo kutokana na maumbile yao kuwa madogo na kupwaya kwenye uke yaani ni kama kuingiza kijiko kwenye ndoo kubwa ya maji hali inayowaweka salama zaidi kiafya kulinganisha na wanaume wenye maumbile makubwa

Hii ni faraja kwa team vibamia, huna haja tena ya kuhangaika kwa wataalamu kutafuta madawa ya kuongeza uume, jali afya yako kula vizuri, fanya mazoezi , kunywa maji mengi na pumzika mda wa kutosha.
Tumia hicho hicho kibamia chako mradi kinasimama na kuingia mambo ya kuhangaika et kuwafikisha wanawake kileleni hayo waachie wapanda mlima hayakuhusu

NO MORE STRESS NO BAD MOOD
Acha ngono zembe
 
Na UKIMWI ataupata tu akikaa kihasara!

Zipo njia nyingi sana za kupata UKIMWI! Nadhani UKIMWI upo tu mpaka kwenye maji maji ya ukeni!!

Kwa mfano, mwanaume mwenye UKIMWI asipovaa condom na akamwaga ndani ya uke wa mwanamke lazima mwanamke yule apate HIV hata kama hakukuwepo na michubuko!

Yale maji ni pure blood na yanauwezo wa kubeba HIV
Watu wengi bado wanajidanganya, au mtu anakwambia ety naenda na futa jingi ni mwendo wa kuteleza tu
 
Sisi wenye viba100 tulishafanya utafiti na kujiridhisha kwamba tuna advantage kubwa when it comes to ukimwi, sio rahisi hata kidogo as hatuchubuki!!
 
Back
Top Bottom