Uzuri wa kibamia hakifiki IKIMWI ulipo

Uzuri wa kibamia hakifiki IKIMWI ulipo

Pole sana,,,, ! Utachapiwa mpaka kufa kwako
Na UKIMWI ataupata tu akikaa kihasara!

Zipo njia nyingi sana za kupata UKIMWI! Nadhani UKIMWI upo tu mpaka kwenye maji maji ya ukeni!!

Kwa mfano, mwanaume mwenye UKIMWI asipovaa condom na akamwaga ndani ya uke wa mwanamke lazima mwanamke yule apate HIV hata kama hakukuwepo na michubuko!

Yale maji ni pure blood na yanauwezo wa kubeba HIV
 
Na mwanaume asiye na ukimwi akilala na mwanamke aliyeathirika je bila mchubuko ataupata?
 
Na mwanaume asiye na ukimwi akilala na mwanamke aliyeathirika je bila mchubuko ataupata?
Kwa mwanaume kuna uwezekano mkubwa asipate kama hana michubuko! Atatoka salama!

Lakini sasa, kuna mwingine hana michubuko sehemu za Siri lakini ana michubuko mdomoni, kama michubuko yake ya mdomoni ikikutana na michubuko ya mwanamke lazima apate!
 
Kama we ni mwanaume mwenye kibamia na unajiona mnyonge kutokana na maumbile yako basi ondoa shaka

Tafiti zinaonyesha wanaume wenye uume mdogo(kibamia) ni vigumu sana kupata magonjwa ya zinaa ikiwemo UKIMWI pindi wanapofanya ngono na mwanamke kwasababu ni vigumu kupata michubuko wakati wa tendo kutokana na maumbile yao kuwa madogo na kupwaya kwenye uke yaani ni kama kuingiza kijiko kwenye ndoo kubwa ya maji hali inayowaweka salama zaidi kiafya kulinganisha na wanaume wenye maumbile makubwa

Hii ni faraja kwa team vibamia, huna haja tena ya kuhangaika kwa wataalamu kutafuta madawa ya kuongeza uume, jali afya yako kula vizuri, fanya mazoezi , kunywa maji mengi na pumzika mda wa kutosha.
Tumia hicho hicho kibamia chako mradi kinasimama na kuingia mambo ya kuhangaika et kuwafikisha wanawake kileleni hayo waachie wapanda mlima hayakuhusu

NO MORE STRESS NO BAD MOOD
Sio hivyo tu, vibamia vinatoa handsome and beautiful girl. Fanya tafiti utanipa majibu.

Hii siri hakuna mwanamke atakaa akuambie
 
Sio hivyo tu, vibamia vinatoa handsome and beautiful girl. Fanya tafiti utanipa majibu.

Hii siri hakuna mwanamke atakaa akuambie
Na vikiwa na nguvu vina uwezo wa kwenda ruti ndefu
 
Back
Top Bottom