Uzuri wa kibamia hakifiki IKIMWI ulipo

Uzuri wa kibamia hakifiki IKIMWI ulipo

GstCjU2WYAA7qzk.jpg
 
Usipotoshe umma ndugu mwandishi, tumia kalamu{keyboard} yako kuelimisha na si kupotosha.
Maambukizi ya virusi vya ukimwi kwa njia ya kujamiana haitegemei ukubwa wa maumbile kwani hata yakiwa makubwa kiasi gani {uke}sio hole, bali ni kama mpira unaotanuka hivyo hata uume ukiwa mdogo na mwembamba kiasi gani lazima msuguano utokee baina ya kuta za uume na uke, hivyo kukuweka kwenye hatari ya kupata maambukizi ya virusi vya ukimwa.
Ni vyema kuzingatia kanuni mbalimbali za kujikinga na maambukizi ya virusi vya ukimwi.
 
Kama we ni mwanaume mwenye kibamia na unajiona mnyonge kutokana na maumbile yako basi ondoa shaka

Tafiti zinaonyesha wanaume wenye uume mdogo(kibamia) ni vigumu sana kupata magonjwa ya zinaa ikiwemo UKIMWI pindi wanapofanya ngono na mwanamke kwasababu ni vigumu kupata michubuko wakati wa tendo kutokana na maumbile yao kuwa madogo na kupwaya kwenye uke yaani ni kama kuingiza kijiko kwenye ndoo kubwa ya maji hali inayowaweka salama zaidi kiafya kulinganisha na wanaume wenye maumbile makubwa

Hii ni faraja kwa team vibamia, huna haja tena ya kuhangaika kwa wataalamu kutafuta madawa ya kuongeza uume, jali afya yako kula vizuri, fanya mazoezi , kunywa maji mengi na pumzika mda wa kutosha.
Tumia hicho hicho kibamia chako mradi kinasimama na kuingia mambo ya kuhangaika et kuwafikisha wanawake kileleni hayo waachie wapanda mlima hayakuhusu

NO MORE STRESS NO BAD MOOD
Karibu nikuuzie dawa ya kukuza uume uwe mkubwa kama wangu upate kutomba vizuri wanawake uwafaidi kama Mimi ninavyo faidi🤗
 
Back
Top Bottom