Huwezi PREFER IST kwa V8...ni kwamba huwezi AFFORD V8.Gari ni mafuta jamaniiiiii! Ukipata gari la petrol halafu linabugia utajuta kuzaliwa, yaani utatamani urudi kwenye baiskeli mkweche! Fuel consumption ni muhimu kwa Gari ndo maana watu wengi wanaprefer IST kuliko V8 hasa kipindi hiki cha mkazo wa vyuma.
Ushaamka?Hio body kwenye avatar...
hahahaha comment yako imebeba uhalisia aisee nakweli tusijibweteke na manyama udhembe😛😛 huwezi jua😉😉😉😉Hahahhaah
We dada ebu niache acha tuunge tela tu tutajua mbele kwa mbele
hahahaha comment yako imebeba uhalisia aisee nakweli tusijibweteke na manyama udhembe😛😛 huwezi jua😉😉😉😉
Nimekumiss mtoto mzuri shombeshombe
HapanaHio body hapo kwa avatar ni yako?
Kwani huwezi kulea?! Nitasaidia
Of course. Who wants some dirty unkempt hair.Kwahio unaweza kuni-reject kisa nywele ?