Uzuri wa gari ni bodi

Uzuri wa gari ni bodi

Wakati was mvua utaona umuhimu wake na kwenye ukungu. Zinakusaidia Sana kuona mbele.
Wengine huwa tunaziendesha na giza, ukungu kitu kidogo hakisumbui.
 
We endelea kusema uzuri wa gari ni body kivyako vyako ukidhani sifa, yakikukuta ya kukukuta ndiyo nyie baadaye mnakuja kutuandikia threads ndefu humu chanzo ni kukurupukia vimeo wenye mvuto kwa nje wakati kichwani wakiwa hawana mvuto,
Relax...its Friday.
 
Sisi wenzangu namie kajamba nani huwa atuchagui tunapanda gari lolote tu ilimradi gari, Tunaamini dereva mzuri awezi kuchagua Gari lakuendesha
 
Back
Top Bottom