Uzuri wa gari ni bodi

Uzuri wa gari ni bodi

Gari ni mafuta jamaniiiiii! Ukipata gari la petrol halafu linabugia utajuta kuzaliwa, yaani utatamani urudi kwenye baiskeli mkweche! Fuel consumption ni muhimu kwa Gari ndo maana watu wengi wanaprefer IST kuliko V8 hasa kipindi hiki cha mkazo wa vyuma.
 
Kweli bilabila

Ila mara nyingi zile gari (lori) zenye kibini mbovu ,huwaga na bonge la tank huko nyuma.
 
Back
Top Bottom