Kwenye shombe shombe bwana sipo huko mmHaa kwahio wewe haupo kwenye ninaowamiss? Upo sana
Njooo PM nina zawadi yako
Nipo mlangoniNjoo uchukue weekend ianze vizuri
Hahahaha, mkuu thread yako imenifurahisha. Engine ni kila kitu, hivi ungependa kuendesha gari engine moshi njia nzima, au sauti hadi mtaa wa saba?Engine is very cheap....please read between the lines.
Its easy and cheap to replace an engine.Hahahaha, mkuu thread yako imenifurahisha. Engine ni kila kitu, hivi ungependa kuendesha gari engine moshi njia nzima, au sauti hadi mtaa wa saba?
Gari engine bwana, Dar to Mbeya mtu huna wasiwasi, potelea mbali wasitizame gari yangu.
Ikiwa inakula wese kwa sana, inatoa maji mengi hadi unashindwa kuendesha, moshi mwingi hadi ushindwe kukaa ndani ya gari...Its easy and cheap to replace an engine.
Unareplace engine tu....halafu engine ili mradi mnafika, body muhimu kukuhamasisha hata kupanda hilo gariIkiwa inakula wese kwa sana, inatoa maji mengi hadi unashindwa kuendesha, moshi mwingi hadi ushindwe kukaa ndani ya gari...
Body tutalipaka rangi bwana, tunataka engine kinanda..
Utavamiaje gari usiloweza kuendesha?Ha ha ha,kuna ba mkwe wangu alikimbilia gari dogo lenye bodi nzuri na la kuvutia;matokeo yake huyo mzee sasa hivi majukumu yote ya ndani kama kudeki,kuosha vyombo,kuangalia mifugo n.k ndio kazi yake.Na hilo gari linamsumbua kweli kweli.
Ha ha ha uchumi uliyumba,kufanyia service ikawa tatizoUtavamiaje gari usiloweza kuendesha?
Hatari sana aiseeeNaunga mkono hoja..gari ni body aisee.View attachment 879893
Body nzuri zenye rejeta inayochemsha kila km 1 zipo sana kwa mzee kagame,unakuta body iko bomba lkn kwenye engine rejeta inachemsha chulu chululuIt depends mashine inaweza kuwa inapandisha maji balaa so to me both matters body na mashine ya uhakika.....
Mkwe nichek kule kwingine,kwa kila siku kumebuma,pls mkweUnamaanishaje hapo