Uzuri wa gari ni bodi

Uzuri wa gari ni bodi

Tumeelewana
[QUOE="PACHO HERRERA, post: 28555234, member: 496189"]Hahahaha wewe umenielewa[/QUOTE]
 
Haya jamani let's hit the gym ndo ujumbe tunaopewa na huyu bwana mdogo RRONDO.

Ni kweli kabisa anachokisema hata sisi tunawaangaliaga wakaka wazuri wazuri body zao. Kabla hata ya kuangalia viatu wala nywele.😉😉😉

TGIF.
Hujawahi kuniangusha....TGIF
 
Haya jamani let's hit the gym ndo ujumbe tunaopewa na huyu bwana mdogo RRONDO.

Ni kweli kabisa anachokisema hata sisi tunawaangaliaga wakaka wazuri wazuri body zao. Kabla hata ya kuangalia viatu wala nywele.😉😉😉

TGIF.
Kitambi kama chote....manyama uzembe ndiyo usiseme...ni mwendo wa kuvaa magauni mapana mapana tu[emoji23][emoji23][emoji23]

Ngoja tukimbilie tu gym hakuna namna.
 
Kitambi kama chote....manyama uzembe ndiyo usiseme...ni mwendo wa kuvaa magauni mapana mapana tu[emoji23][emoji23][emoji23]

Ngoja tukimbilie tu gym hakuna namna.
Hujachelewa bado...
 
Gari ni wese.
FB_IMG_1537869124493.jpeg
 
Gari ni tyre jamani
Ukiwa na Tyre mpya hata porini unakwenda
Ila gari mpya tairi ya kuungaunga mara pancha
Gari ni Tyre jamoni
Tyre ni guu wana falsafa
Toto likiwa na guu basi kila kona litakuwa zuri
 
Back
Top Bottom