Maamuzi yetu mengi bado yanakuwa influenced na makuzi, muono, na tafsiri za kila mmoja wetu.
Makuzi yalitu shape hisia zetu unapomuona mtu kakunja uso ina maana ana hasira.
Ukimuona mtu ameva hivyo hovyo, unatafsiri ana matatizo...nk...
Kwenye Customer Service training Skills nia ni kupanua wigo wa ufahamu.
Kwamba si kila aliyekunja uso ana hasira,...huenda anaumwa, huenda ana njaa, huenda ndivyo alivyo!
Tunafunzwa kujiepusha na kumhukumu mtu kabla hujamsikiza. Tunafunzwa kuzihifadhi kabatini hisia zetu.
Tunafunzwa ku empathy na wenzetu i.e mteja/mgeni/wenzetu.
Kubwa kuliko yote, tunapofunzwa tufundishike. Kwani hili haliishii makazini pekee na tunaofanya nao kazi.
Hata majumbani vile vile,...ukimkuta mke/mume kanuna haina maana umemkosea. Na hivyo hivyo,
twapaswa kujifunza jinsi personal appearances na facial expression zetu zinavyoweza ku influence mtazamo wetu kwa wengine.
Mie huwa napata attention yote kwa kuwa huenda na baibui langu kila mahali, iwe ofisi ya serikali au binafsi, sijakuwa na tatizo la kuheshimiwa ila tu kunasiku nilienda pale uhindini, katika zile restaurant za usiku wanazotoa meza nje, mtaa wa Jamhuri, Dar. nikakosa kupewa attention ya haraka mpaka nikaamka na kwenda kukoroma counter, attention walikuwa wakipewa wadosi tu.
Other than that, sijapata kukosewa heshima na Asalaam Aleykum na shikamoo nyingi hupewa, labda age matters vilevile.
Nnavyodhani mimi, cha kwanza ni kuwa na muonekano wa kiheshima, ukivaa modestly, msafi au mnadhifu, ukawa huachi kutabasam hapa na pale na unaongea straight na to the point, sidhani kama utapata maonevu au kutoheshimika kama inavyobidi.
Mbu hivi mimi ni Architecture nikienda site nimevaa suti kuna kosa kweli lol!!
Ndio maana kuna wanaume wanafagilia Vitambi.
Unajua mtu mwenye kitambi, Shati linakaa mwilini vizuri halafu kimwazo ya kijinga anaonekana kama anazo.
Hii tabia wanayo wanawake hasa ikitokea anayekuwa served ni mwanamke mwenzake i have seen this so many timesMbu your deep insights kaka some times nouma..... nimejifunza one or two things from
your comments leo, one ya muhimu ni jinsi gani hio issue inakua nurtured toka udogoni...
Ndio i knew but i think sikuizingatia nafasi yake katika hili suala.... as in toka unalelewa mpaka unakua...
Hata hivyo nikirudi katika Customer Handling Skills kuna ile Motto ya First in First to be served - Which
in this case ni problem kubwa saana... Na hizo hisia... Why ukienda wewe una serviwa na kununa - where
as akienda Mrembo/Mtanashati a smile i-rise?? I wish ungewahi angalia a Movie called
"Out of My League" Nitolee mfano scene fulani hivi....
Mbu sometime we have to judge a book by its cover. Maana muonekano wa mtu kwa nje unapotray mengi sana. huwezi kuvalia suruali chini ya panapohusika halafu uniambie kuwa u r so smart even in your head. Muonekano wako unakushusha na kukuweka sehem ambayo hukutarajia
Nafikiri huu ni mtazamo mzuri... But in speacial cases as in not to be applied mara zoote....
Hii tabia wanayo wanawake hasa ikitokea anayekuwa served ni mwanamke mwenzake i have seen this so many times
Faiza nimependa your share of experience.... na naona hio nilo bold itabidi nifanyie kazi....
Thou genuinely sijakutana na hii issue, ila in rare cases.... naona hizo rare cases in purple will do....lol
Nakubaliana nawe sana tu, ila vile vile haina maana kwakuwa aliyevaa Suit na tai ndio anaonekana Smart, na perception ya mtu inahamia kwamba huyo ni saint.
...hawa jamaa walivamia duka la Jewellery mjini London mwaka 2009.
Walikwenda na BMW ya maana tu...
...wangapi mkienda na kitita benki mnajitahidi kuvaa kawaida sana tu, na huku mkononi mmeshikilia mfuko wa karatasi wenye mamilioni ya fedha?
[BTW; AshaDii na wengineo, Kumradhi na mapicha jamani, ila ndio njia yangu nyepesi kuwasilisha Ujumbe.]
Mbu nitafanya jaribio moja siku nitaenda Kempinsiki nimevaa suti halafu niingie restaurant najua nitapata world class service kutokana na jinsi nitakavyokuwa nimevaa, halafu nitaenda pale Movenpick nimevaa pensi na sandals niingie Restaurant halafu nione reception nitakayopata lol!!!Nakubaliana nawe sana tu, ila vile vile haina maana kwakuwa aliyevaa Suit na tai ndio anaonekana Smart, na perception ya mtu inahamia kwamba huyo ni "saint."
...hawa jamaa walivamia duka la Jewellery mjini London mwaka 2009.
Walikwenda na BMW ya maana tu...hata wale majambazi waliovamia MacSoms Bureau De Change mtaa wa India, walikuwa Smart sana siku ile...
...wangapi mkienda na kitita benki mnajitahidi kuvaa kawaida sana tu, na huku mkononi mmeshikilia mfuko wa karatasi wenye mamilioni ya fedha?
[BTW; AshaDii na wengineo, Kumradhi na mapicha jamani, ila ndio njia yangu nyepesi kuwasilisha Ujumbe.]
Now that is the word...
Mbu your deep insights kaka some times nouma..... nimejifunza one or two things from
your comments leo, one ya muhimu ni jinsi gani hio issue inakua nurtured toka udogoni...
Ndio i knew but i think sikuizingatia nafasi yake katika hili suala.... as in toka unalelewa mpaka unakua...
Hata hivyo nikirudi katika Customer Handling Skills kuna ile Motto ya First in First to be served - Which
in this case ni problem kubwa saana... Na hizo hisia... Why ukienda wewe una serviwa na kununa - where
as akienda Mrembo/Mtanashati a smile i-rise?? I wish ungewahi angalia a Movie called
"Out of My League" Nitolee mfano scene fulani hivi....
Mbu nitafanya jaribio moja siku nitaenda Kempinsiki nimevaa suti halafu niingie restaurant najua nitapata world class service kutokana na jinsi nitakavyokuwa nimevaa, halafu nitaenda pale Movenpick nimevaa pensi na sandals niingie Restaurant halafu nione reception nitakayopata lol!!!

Nakubaliana nawe sana tu, ila vile vile haina maana kwakuwa aliyevaa Suit na tai ndio anaonekana Smart, na perception ya mtu inahamia kwamba huyo ni "saint."
...hawa jamaa walivamia duka la Jewellery mjini London mwaka 2009.
Walikwenda na BMW ya maana tu...hata wale majambazi waliovamia MacSoms Bureau De Change mtaa wa India, walikuwa Smart sana siku ile...
...wangapi mkienda na kitita benki mnajitahidi kuvaa kawaida sana tu, na huku mkononi mmeshikilia mfuko wa karatasi wenye mamilioni ya fedha?
[BTW; AshaDii na wengineo, Kumradhi na mapicha jamani, ila ndio njia yangu nyepesi kuwasilisha Ujumbe.]
Mbu nitafanya jaribio moja siku nitaenda Kempinsiki nimevaa suti halafu niingie restaurant najua nitapata world class service kutokana na jinsi nitakavyokuwa nimevaa, halafu nitaenda pale Movenpick nimevaa pensi na sandals niingie Restaurant halafu nione reception nitakayopata lol!!!
AshaDii your words is my command and i appreciate a lot.
Tukubali kuwa usmart na muonekano wa mtu ni kitu cha kujengwa toka moyoni na kama mtu anapenda kuwa smart au awe na muonekno mzuri ni lazima ajenge kitu hicho ndani ya moyo wake na ajue kuwa si kitu cha kuiga. !
...inatokana na muamsho wa hizo hisia. Fikiria, mrembo/mtanashati huyo huyo anaweza akifika Counter, akishafungua mdomo wake tu ni matusi, ukali na dharau...unadhani hizo smiles zitaendelea?
Mwenzenu Sidanganyiki! !