Ombi Kwenu wana JF…
- Naomba tujaribu jadili nini hasa chaweza changia kumpandisha alie Mzuri/Mrembo/Mtanashati.. kuhudumiwa haraka, kupendelewa/kubebwa ama kuthaminiwa hali hicho ambacho anakua favoured hata Yule ambae sio Mzuri/Mrembo/Mtanashati anaweza provide…
- Ikiwezekana tushee experience mbali mbali katika maeneo/insitituions mbali mbali ili kupata picha kamili ya sula zima liko kwa kiasi gani….
- Mtu unapojikuta katika hio hali ya kunyanyapaliwa…. Ufanye nini??
Natanguliza Shukrani…
Pamoja Saaana…
AshaDii (ADI)
Tuko THANK YOU for sharing.... Na nimeipenda saana hio namba moja.... Imenifanya
nicheke saaana.... In other words wanaume wanavutiwa na urembo/uzuri la sivyo
imekula kwako kama huajaolewa.... Hilo wazo zuri twaweza fungua hata Bongo naona....lol
...AshaDii, kwa muonekano wangu mzizi wa fikra hizi ni tangu wadogo mtoto unapoanza kumfunda kwamba avae vizuri apendeze. Ukimkuza mtoto kupendeza ni jambo la kawaida, hata huko mbele ya safari halitakuwa jambo la ajabu. Lakini, iwapo kuvaa vizuri na kupendeza ni kiashiria cha sikukuu, mtoto nae atakuwa hivyo hivyo.
Vision, perception na judgements ni mambo tunayokuzwa nayo, hayakwepeki hata utu uzimani kuwa judge watu kwa muonekano wao wa nje hata kabla hujamsikia sauti, au ombi lake.
Mfano wa picha hii hapa chini,
...hisia yako ya kwanza iliyokujia ni nini?
In the bolded, watu wanaweza kupinga sana lakini ndio ukweli. Mwanaume anaonana na wanawake wengi katika mapito yake, lakini atamtazama mwanamke kwa mara ya pili kama amevutiwa na mwonekano wake, then atajenga interest ya kuwa karibu naye. Then ukaribu wao unawapa nafasi ya kujuana zaidi na mambo mengine kuendelea.
BUT hata kama una tabia nzuri kama malaika, but muonekano usiovutia, inabidi tabia zako zijulikane by chance, pengine na mfanyakazi au mwanafunzi mwenzako au mtu ambaye kuna kitu kimamlazimu awe karibu na wewe, na hizi chance ni limited.
Clothes Makes a Pirate.... (appearance yako na jinsi ulivyo) unaweza ukapelekea watu waka-stereotype jinsi ulivyo...
When in Rome do like Romans.... kwahiyo jaribu kujiweka na ku-fit kulingana na mazingira sio unavaa suit na briefcase yako unakwenda kwenye kilabu cha gongo.., utaonekana wewe mtu wa ajabu..., au kwenye family gathering unavaa kama unakwenda Disco (usishangae kama watadhani wewe ni changu)
Apart from that kama wahudumu watatoa huduma mbovu basi they need customer care na kukumbushwa kwamba mteja ni mfalme
My first thought was sijai angalia vizuri.... Then (i have to admit niliangalia kabla ya kusoma...)
nikajiuliza what is he trying to say about this old looking person.... Baada ya kusoma nimeangalia
vizuri, na upya nakutambua wala sio old, ila tu huyu mtu kajijaladia mno (maybe tokana na baridi)
alafu sio mzee kama nilivyo fikiri mara ya kwanza.... Which in fact bado sina hakika kama nimejibu sawa....
...naam, hiyo ndio maana yangu, kumtoa mtu thamani au kumthaminisha mtu kwa mtazamo wa nje na wa haraka haraka
kunawaponza watu wengi sana. 'We are all advised not to judge the book by its cover.'
...naam, hiyo ndio maana yangu, kumtoa mtu thamani au kumthaminisha mtu kwa mtazamo wa nje na wa haraka haraka
kunawaponza watu wengi sana. 'We are all advised not to judge the book by its cover.'
VOR Nakubaliana na yoote ulosema.... But note that kuna sehemu huduma ziko hivo na ni wazi hapa mjini kua Companies nyingi zinatoa trainings za Customer handling Skills... na pia kuna kua na Work quality assurance hapo (thou in most cases ni za kizushi....) I am saying to a person ambae kujitahidi kwake kooote - hapo alipo ndio kamailiza na ndio his/her best! Anapojikuta katika hio position, what is the best way to handle hio issue??
Mbu hivi mimi ni Architecture nikienda site nimevaa suti kuna kosa kweli lol!!
Maamuzi yetu mengi bado yanakuwa influenced na makuzi, muono, na tafsiri za kila mmoja wetu.
Makuzi yalitu shape hisia zetu unapomuona mtu kakunja uso ina maana ana hasira.
Ukimuona mtu ameva hivyo hovyo, unatafsiri ana matatizo...nk...
Kwenye Customer Service training Skills nia ni kupanua wigo wa ufahamu.
Kwamba si kila aliyekunja uso ana hasira,...huenda anaumwa, huenda ana njaa, huenda ndivyo alivyo!
Tunafunzwa kujiepusha na kumhukumu mtu kabla hujamsikiza. Tunafunzwa kuzihifadhi kabatini hisia zetu.
Tunafunzwa ku empathy na wenzetu i.e mteja/mgeni/wenzetu.
Kubwa kuliko yote, tunapofunzwa tufundishike. Kwani hili haliishii makazini pekee na tunaofanya nao kazi.
Hata majumbani vile vile,...ukimkuta mke/mume kanuna haina maana umemkosea. Na hivyo hivyo,
twapaswa kujifunza jinsi personal appearances na facial expression zetu zinavyoweza ku influence mtazamo wetu kwa wengine.
Mbu sometime we have to judge a book by its cover. Maana muonekano wa mtu kwa nje unapotray mengi sana. huwezi kuvalia suruali chini ya panapohusika halafu uniambie kuwa u r so smart even in your head. Muonekano wako unakushusha na kukuweka sehem ambayo hukutarajia
That is usually a problem kwa wengiMie huwa napata attention yote kwa kuwa huenda na baibui langu kila mahali, iwe ofisi ya serikali au binafsi, sijakuwa na tatizo la kuheshimiwa ila tu kunasiku nilienda pale uhindini, katika zile restaurant za usiku wanazotoa meza nje, mtaa wa Jamhuri, Dar. nikakosa kupewa attention ya haraka mpaka nikaamka na kwenda kukoroma counter, attention walikuwa wakipewa wadosi tu.
Other than that, sijapata kukosewa heshima na Asalaam Aleykum na shikamoo nyingi hupewa, labda age matters vilevile.
Nnavyodhani mimi, cha kwanza ni kuwa na muonekano wa kiheshima, ukivaa modestly, msafi au mnadhifu, ukawa huachi kutabasam hapa na pale na unaongea straight na to the point, sidhani kama utapata maonevu au kutoheshimika kama inavyobidi.
Ndio maana kuna wanaume wanafagilia Vitambi.
Unajua mtu mwenye kitambi, Shati linakaa mwilini vizuri halafu kimwazo ya kijinga anaonekana kama anazo.
Mbu hivi mimi ni Architecture nikienda site nimevaa suti kuna kosa kweli lol!!