Uzoefu binafsi uwepo wangu ndani ya Burundi

Uzoefu binafsi uwepo wangu ndani ya Burundi

let the caged bird sings

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2020
Posts
4,097
Reaction score
9,609
Hapa Rumonge ni Mji cool sana. Usiku,maeneo mengi yapo dull na low activities unless kwenye kumbi za kujirusha.

Data, ipo chini sana buku tano ya Tz unaweza peruzi mwezi mzima.

Kidnappers, ni hakuna hakuna kabisa. Warundi wanapenda wageni japo sijajitambulishi kama Mtanzania( nina ichukia Tanzania).

Ninatamani kuwepo hapa kwa muda mrefu zaidi.
 
Burundi watu wanauwawa kimya kimya kwa tuhuma za kwamba ni waasi.

Hata vijana wanaokuja kujitafutia Tanzania na wakipata hela wakirudi wanafinywa kimya kimya kwa tuhuma kwamba wametokea Kongo kwa waasi.
 
Kwa jinsi wanavyoishi hao majamaa na experience ya magumu waliyopitia, usifikiri kwamba hawajui kuwa wewe ni "wakuja"
Kama huamini, subiri waanze kukinukisha kama hawajaanza na wewe "kukugeuza bucha"
Warundi wote wanajuana tena kwa kubaguana wao kwa wao sembuse wewe mmatumbi!
 
Naipenda BURUNDI na natamani siku moja nifike huko kama kuna connection naomba unijumuishe niweze kufika burundi
 
Ata mimi siipendi burundi wala afrika kwa ujumla.Natamani ningezaliwa mzungu.kwa maana mimi nina uweusi mwingine kama wa jini ambao siupendi kabisa.Hata na tamanigi nisingezaliwa.
 
Back
Top Bottom