Hongera Azam media. Nayaona mapinduzi katika tasnia ya habari yanakuja.
Lakini jamani tuwe wakweli kidogo na tuzingatie uhalisia. Bilioni 53?! Kweli!? Yaani milioni 53,000?!
Tido Mhando ni muislam?mbona huulizi kwanini ofisi za LHRC pale kijitonyama waajiriwa wote ni wakristo???
Ofisi ya Kurugenzi Hali ya Hewa Ubungo Plaza ni Hija*u tu. Tena n y serikali. AibuAubona haulizi kuwa dr dau ameajiri wAkristo wangapi
Kumbe umeajiriwa nilidhani una mashughuli yako binafsi kumbe umeandikwa kibarua.Kuajiriwa Kwangu Na Rais Wangu Kagame Kunanitosha Na Natekeleza Tu Majukumu Yangu Bila Hofu Yoyote. Nyie Hamshangai Tu Nipo Humu 24/7 Usiku Na Mchana Lakini Nyie Mnahangaika Kuamka Asubuhi Kwenda Mjini Kuhangaikia Mshahara Wa Tsh Laki 7 Ambao Ukikatwakatwa Take Home Yenu Inakuwa Tsh 320,000/=! Tena NINA WASANIFU KULIKO MNAVYODHANI Humu Jamvini. Mavaluvalu Wakubwa Nyie.
Tatizo naloliona Azam Tv ni kwamba hawatakuwa wakiweka mezani mada ambazo jamii inataka kuzisikia, mfano matukio ya mwaka huu kama mambo ya katiba pendekezwa, uchaguzi mkuu, daftari la kupigia kura n.k, tatizo lao litakuwa ni kuleta studio wadau wa pro sisiemu badala ya neutrality. Nihisivyo mimi, Azam grp kuna kau-sisiemu.
Ambaye atabisha na kudai nimeleta siasa humu, GO AND EAT A D***!
Rais Kikwete leo asubuhi ameifungua rasmi studio ya kisasa kabisa ya Azamtv. Akihojiwa na Tido Mhando ambaye ni naibu CEO wa Azamtv, Rais amempongeza sana Bakharesa kwa uwekezaji huo mkubwa kabisa hapa East Africa. Uwekezaji huu ni wa takribani sh 52 bilioni! Karibu Azamtv karibu tena TIDO luningani.
Ofisi ya Kurugenzi Hali ya Hewa Ubungo Plaza ni Hija*u tu. Tena n y serikali. Aibu
Kuna ifisi ya Hali ya Hewa, Ubungo plaza. Ni hij*bu tu ofsini. Shida nchi hi
Na pia sidhani kama watakua huru kivile kwa maana bado pia kuna udini ambapo itawabana waandishi au waandaaji wa vipindi
Tatizo lako kubwa ni malezi uliyoyapata kutoka kwa majirani, maana mama alikuwa bize kukutafutie kula. Jee, baba pia humjuwi au ndiyo anashinda na kukesha vilabuni?
ile biashara ya familia mtu wa kuajiri ni uamuzi binafsi,ulishawahi ona mkristo kaajiriwa world vision,tcrs?jiulize kwanza wakristo wana vyuo vikuu vingapi ukilinganisha na waislamu hapa tanzania kama kweli unataka hakiNampongeza sana kwa kweli kwa huo uwekezaji.
Ila nasikia katika kuajiri kuna ka ukweli kuwa eti kama wewe sio Timu Barakashia ama sio Timu hijabu hupati kazi.
Nasikia wale wote wauuza ICE CREAM kwenye vitoroli wote ni Timu Barakashia. Nitaanza utafiti wangu kabla ya kununua nitakuwa namuuliza muuzaji jina lake, halafu nameza, nikifika pembeni kidogo naandika kwenye kitafutari changu cha mistari mikubwa na midogo.
Nasikia kwa upande wa TIDO MHANDO ilikuwa haina jinsi, japo nasikia kulikuwa na ubishi sana, wenzetu wengi walipinga MGALATIA kupewa hiyo nafasi. Lakini mauwezo yake ndo ikabidi wamuweke, baada ya kufanya vizuri BBC, TBC MCL. Kiukweli jamaa ana uwezo. Nasikia SALIM KIKEKE akiondoka BBC atakuja kuchukua nafasi hiyo.
unapenda kuona ofisi ya wanaovaa vimini siyo?Kuna ifisi ya Hali ya Hewa, Ubungo plaza. Ni hij*bu tu ofsini. Shida nchi hi
Nampongeza sana kwa kweli kwa huo uwekezaji.